Nimeliaaa nimenyamazaaa
Nimekunywa Bia kupunguza mawaz0 Ila wapi...!!
Nikisema Nilale Nipate Usingizi Hauji...
Ik0 ivi.... mwaka Jana mwezi wa pili Nimepanga Nyumba m0ja maene0 ya Hapa Dar,Katika Hi0 Nyumba Mpangaji ni Mimi Peke Yangu...Nyumba Hii imejengwa Kifamilia...
Ila njee ya hio nyumba kubwa Kuna chumba Na seble ila ni ndani ya Geti ndi0 nimepanga mimi...(Vuta picha utaelewa)
Kipindi nahamia Baba mwenye nyumba aliniambia aliamua kujenga chumba na seble ili atafute mpangaji mana yeye ni mtu wa kusafirisafiri Iv0 Huwa nyumba inabaki peke yake S0 kuamua kujenga iv0 ili apate mpangi Ili kidog0 kuwe na Usalama...
Na mie ndio mpangaji wa kwanza kubahatika kupanga pale Baada ya kupelekwa na madalali...
Hi0 Nyumba kubwa ni nzuri sana na hata hich0 chumba na seble Ni Kizuri sana...
Tangu napanga pale Huy0 baba mwenye nyumba Sijawahi kumuona mkewe wala mt0t0 Jap0 yeye umri wake umeenda enda ivi nikimkadilia kama miaka 60 mpk 70 Na sikuwa kumuuliza inshu za familia mana hazinihusu...
Alikuwa akisafiri nabaki peke yangu hata miezi miwili Then namuona wiki kadhaa h0me then anasepa zake(Huwa ananiga akisepa)...Sijui kazi yake na sikuwa na haja ya kuuliza mana mimi sio mbea mbea na sikuwahi kuwa na maz0ea nae kiiv00..
Sasa Ilipofika mwezi wa 10 mwaka jana Alirudi kutoka huk0 anak0endaga Ila Alirudi na Binti Mmoja ivi ambae kwa miaka nilivy0mtazama kwenye ni 25 mpk 30 nilimkadiria kulingana na Umbo na sura yake...
Yule binti ni mzuri sana nikizungumzia mzuri ni mzuri Haswaa Kama unawajua wazuri basi nae muweke hum0hum0...Alikaa nae zaidi ya mwezi Na sikuwahi kumuuliza yule mzee kuhusu yule binti kama ni mwanae Au nani yake mana Hayanihusu na wala sijawahi ongea lolote na yule binti zaidi ya salamu Tukiwa tumekutana Mule mule ndani ya geti kiufupi hatukuwa na maz0ea...
Ilip0fika mwezi wa 12 mwaka jana kwenye tarehe za mwanzoni Yule mzee nilikutana nae Getini asubuhi kipindi nasepa zangu job na aliniaga kuwa nikirudi sitamkuta anasepa zake(Huk0 anak0endaga sipajui mimi) Nikaitikia kama kawaida fureshi Na huwa hasemi anarudi lini na mimi simuulizi kuwa unarudi lini, Yani yeye kama umeme,Unakatika Gafla unarudi Gafla...
Basi Nikasepa zangu mishemishe mpk mida ya sa 10 Nikawa nimerudi Home,Nikafanya shuhuri zangu za kila ninap0rudi home then nikawasha Ps4 Yangu nikawa nacheza(Huwa napenda sana kucheza game na kuchek m0vie Mana Sina Kazi nyingi Nikiingia ndani)Sinaga marafiki mtaani kabisaa,Marafiki zangu ni kazini Tu Na Huwa wananitembelea au kuwatembelea mara moja moja hasa jumapili kuja/kwenda kucheza Game Na kuumwagilia moyo..(Demu Sikuwa nae cuz nilitoka kuachwa kwasababu mimi nina gubu ETI)
Basi Mida ya sa 11 nikiwa bize na game mlango wangu ukagongwa ila nikahisi sijasikia vizuri kwasababu nilikuwa bize na Gemu langu Ila nilip0 pause nikasikia tena Hodi ya kugongwa mlango,Nilistuka mana Kwa miezi yote nilikaa mule ndani mlango wangu haujawahi kugongwa Hodi Hata father hausi awep0 hajawahi fanya iv0,niliingiwa na woga kiasi...Nikanyanyuka Nikaenda kufungua,Nikamkuta yule binti aliekuja na father hause ambae sikuwahi kujua kuwa ni mwanae au demu wake au mtoto wa dada ake Hata jina simjui aisee nilistuka kiasi flani na sababu za kustuka nilijua walisepa w0te ile asubuhi nilivy0agwa ila nikawaza labda mzee aliamua kuvunja safari yake hakwenda...
Tulisalimiana na akanieleza shida yake kuwa Ana0mba nikamsaidie kuiangalia machine yake ya kufulia nguo mana Anaona imesimama haifanyi kazi imezima gafla,Nikamuuliza kwani mzee Hayup0 Akasema amesafiri Kwani hajaniaga?Nikaamua kunyamaza,Nikaingia ndani kuvaa Shati langu mana nilikuwa kifua wazi ili niende huk0 kwenye hio mashine ya kufulia...
N:B KUNA KITU KIMET0KEA JUZI KUSHINDA JANA YANI LE0 SIKU YA 3 NDIO KINAFANYA NIOMBE USHAURI HAPA NAHISI KUZIMIA NA KUFA KUFA...
Naja malizia...