winlicious
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,009
- 1,158
Hahaaaa hatali thanaKweri kabisa ni laha
Hahaaaa hatali thanaKweri kabisa ni laha
MuluaaaKwakweri varentaini imekuwa muluaaaa
rabda alikua anapenda sana elaPore sana mkuu kwa nini urimuacha
HanakutanaSasa anakutana na nyama zirizo zeeka hata radha hazina akome
usiache mbachao kwa msara upitaoNajuta kwanini nilimpa nafsi shetani nikaachana na kipenzi changu .sasa hivi kila demu nitakaye mpata Majanga .hata yure wa kipindi kire nilipo kuwa homu kwa mzee kitaa ambaye naye niliachanae nikamtafuta akaniereewa. Duuh sasa naye kawa muhuni ! mnyoa viduku ! mvaa nguo fupi !mcheza shoo ! anakunywa bia ! Najuata nalia kwanini niliachana na wangu kipenzi alinivumilia sana lakini mie sikuherewa.
Era ya kusukarabda alikua anapenda sana ela
Angetoha asingeria reorabda alikua anapenda sana ela
era ya smaltphoneEra ya kusuka
Era ya saruni
Era ya varentaini
Era ya ledisi
Era ya kura
Era ya gali
Nimecheka kwa nguvuEra ya kusuka
Era ya saruni
Era ya varentaini
Era ya ledisi
Era ya kura
Era ya gali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] simaltifoniera ya smaltphone
Also, and vice versa.teh teh teh teh teh kila unapogusa unakura za uso tu
radhi si mpka itoke kwa wazazi hata mpenzi akakupenda akakuvumilia akakusubilia akawaacha watu wa kweri waliotaka kumuoa kwa ajiri yako
araf wewe unakuja kumuacha kirahisi rahisi tu kwa maneno machache ya kishujaa bila kujali ataumia kiasi gan
araf utamu unanoga ukute ameshaolewa na yeye ana ana wtoto wazuri wewe una hata wa kusingiziwa
wacha radhi ya mpenzi ikutafune
![]()
Kieh! kieh! kieh! huko ndo atakutana na shetani kavaa boxer.