Najuta ! Nalia ! Kwanini shetani nilimpa nafasi

Najuta kwanini nilimpa nafsi shetani nikaachana na kipenzi changu .sasa hivi kila demu nitakaye mpata Majanga .hata yure wa kipindi kire nilipo kuwa homu kwa mzee kitaa ambaye naye niliachanae nikamtafuta akaniereewa. Duuh sasa naye kawa muhuni ! mnyoa viduku ! mvaa nguo fupi !mcheza shoo ! anakunywa bia ! Najuata nalia kwanini niliachana na wangu kipenzi alinivumilia sana lakini mie sikuherewa. !wadau nimeamuwa ni hii ya update hii thread yangu wadau kiswahili sijui kuandika vizuri naomba msinihukumu!
How old r u?am so curious
 
Duuu huku kweri rahaa nirikuwa na stress sasa jamaa wa rara..ra kanitoa stress mbona raha tena raha sana
laha tena laha sana priz lekebisha rugha yako mkuu itifaki kuzingatiwa[emoji6] [emoji6]
 
Najuta kwanini nilimpa nafsi shetani nikaachana na kipenzi changu .sasa hivi kila demu nitakaye mpata Majanga .hata yure wa kipindi kire nilipo kuwa homu kwa mzee kitaa ambaye naye niliachanae nikamtafuta akaniereewa. Duuh sasa naye kawa muhuni ! mnyoa viduku ! mvaa nguo fupi !mcheza shoo ! anakunywa bia ! Najuata nalia kwanini niliachana na wangu kipenzi alinivumilia sana lakini mie sikuherewa. !wadau nimeamuwa ni hii ya update hii thread yangu wadau kiswahili sijui kuandika vizuri naomba msinihukumu!
Yure wa zamani arikuroga si arikua anarara kwako
 
Razima utakuwa urimkosea sana yure wa mwanzo. Kwann hutaki kumuomba msamaha?
 
Najuta kwanini nilimpa nafsi shetani nikaachana na kipenzi changu .sasa hivi kila demu nitakaye mpata Majanga .hata yure wa kipindi kire nilipo kuwa homu kwa mzee kitaa ambaye naye niliachanae nikamtafuta akaniereewa. Duuh sasa naye kawa muhuni ! mnyoa viduku ! mvaa nguo fupi !mcheza shoo ! anakunywa bia ! Najuata nalia kwanini niliachana na wangu kipenzi alinivumilia sana lakini mie sikuherewa. !wadau nimeamuwa ni hii ya update hii thread yangu wadau kiswahili sijui kuandika vizuri naomba msinihukumu!

'Dont blame the devil i did it' kwa sauti ya pastor Amakiri yule wa nigeria..
 
Najuta kwanini nilimpa nafsi shetani nikaachana na kipenzi changu .sasa hivi kila demu nitakaye mpata Majanga .hata yure wa kipindi kire nilipo kuwa homu kwa mzee kitaa ambaye naye niliachanae nikamtafuta akaniereewa. Duuh sasa naye kawa muhuni ! mnyoa viduku ! mvaa nguo fupi !mcheza shoo ! anakunywa bia ! Najuata nalia kwanini niliachana na wangu kipenzi alinivumilia sana lakini mie sikuherewa. !wadau nimeamuwa ni hii ya update hii thread yangu wadau kiswahili sijui kuandika vizuri naomba msinihukum
Mungu ni Mungu wa nafasi ya pili, usijute, jisamehe mwenyewe,samehe wengineuuliowakosea, tulia wazua upya, utapata mwingine safiiiiii, au hata yuleyule kama yupo anaweza kurudi tena. kwa Mungu yote yanawezekana
 
Back
Top Bottom