linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,732
- 4,393
Ririvofika dalasa ra tatu rikarara mbereeRi jamaa rimesoma Magufuri primary school
Ririvofika dalasa ra tatu rikarara mbereeRi jamaa rimesoma Magufuri primary school
Ukisikiriza bongo freva ndo utakutana na haya madudu ra inakuwa la. Kwenye A anaweka ha. HataliiUna kipaji kizuri sana...
Hii ni Chorus .....
Bado Verses...
Wapi BONGO STAR SEARCH?
Poree sana sana bothiiNajuta kwanini nilimpa nafsi shetani nikaachana na kipenzi changu .sasa hivi kila demu nitakaye mpata Majanga .hata yure wa kipindi kire nilipo kuwa homu kwa mzee kitaa ambaye naye niliachanae nikamtafuta akaniereewa. Duuh sasa naye kawa muhuni ! mnyoa viduku ! mvaa nguo fupi !mcheza shoo ! anakunywa bia ! Najuata nalia kwanini niliachana na wangu kipenzi alinivumilia sana lakini mie sikuherewa.
Haro pore sana irikuwaje ukaachana naye!Najuta kwanini nilimpa nafsi shetani nikaachana na kipenzi changu .sasa hivi kila demu nitakaye mpata Majanga .hata yure wa kipindi kire nilipo kuwa homu kwa mzee kitaa ambaye naye niliachanae nikamtafuta akaniereewa. Duuh sasa naye kawa muhuni ! mnyoa viduku ! mvaa nguo fupi !mcheza shoo ! anakunywa bia ! Najuata nalia kwanini niliachana na wangu kipenzi alinivumilia sana lakini mie sikuherewa.
Najuta kwanini nilimpa nafsi shetani nikaachana na kipenzi changu .sasa hivi kila demu nitakaye mpata Majanga .hata yure wa kipindi kire nilipo kuwa homu kwa mzee kitaa ambaye naye niliachanae nikamtafuta akaniereewa. Duuh sasa naye kawa muhuni ! mnyoa viduku ! mvaa nguo fupi !mcheza shoo ! anakunywa bia ! Najuata nalia kwanini niliachana na wangu kipenzi alinivumilia sana lakini mie sikuherewa. !wadau nimeamuwa ni hii ya update hii thread yangu wadau kiswahili sijui kuandika vizuri naomba msinihukumu!
Mkuu umeniacha njia panda !Mungu aliyachagua mambo mapumbavu ya dunia awaaibishe wenye hekima; tena Mungu alivichagua vitu dhaifu vya dunia ili aviaibishe vyenye nguvu; tena Mungu alivichagua vitu vinyonge vya dunia na vilivyodharauliwa, naam, vitu ambavyo haviko, ili avibatilishe vile vilivyoko; mwenye mwili awaye yote asije akajisifu mbele za Mungu.
Yaan...hii thlead Himeniweza kwa hakika. Hitabd ni subsclibe kwa kweriTutakuripa ucjari wara usiwe na ofu.😀
HahahaaRirivofika dalasa ra tatu rikarara mberee
Badilisha hapo kwenye "r" weka "l" bacNajuta kwanini nilimpa nafsi shetani nikaachana na kipenzi changu .sasa hivi kila demu nitakaye mpata Majanga .hata yure wa kipindi kire nilipo kuwa homu kwa mzee kitaa ambaye naye niliachanae nikamtafuta akaniereewa. Duuh sasa naye kawa muhuni ! mnyoa viduku ! mvaa nguo fupi !mcheza shoo ! anakunywa bia ! Najuata nalia kwanini niliachana na wangu kipenzi alinivumilia sana lakini mie sikuherewa. !wadau nimeamuwa ni hii ya update hii thread yangu wadau kiswahili sijui kuandika vizuri naomba msinihukumu!
Yaan...hii thlead Himeniweza kwa hakika. Hitabd ni subsclibe kwa kweri
Duh kweli unajua kuchambaHahaa hizo R, ndo maana hupati tena mademu. Huyo alikuvumilia na lafudhi mbovu ukamuacha.
Kieh! kieh! kieh! huko ndo atakutana na shetani kavaa boxer.
hivi kwa nn kila kitu shetani wakati akili yako ndiyo ilikutuma kufanya hivyoNajuta kwanini nilimpa nafsi shetani nikaachana na kipenzi changu .sasa hivi kila demu nitakaye mpata Majanga .hata yure wa kipindi kire nilipo kuwa homu kwa mzee kitaa ambaye naye niliachanae nikamtafuta akaniereewa. Duuh sasa naye kawa muhuni ! mnyoa viduku ! mvaa nguo fupi !mcheza shoo ! anakunywa bia ! Najuata nalia kwanini niliachana na wangu kipenzi alinivumilia sana lakini mie sikuherewa. !wadau nimeamuwa ni hii ya update hii thread yangu wadau kiswahili sijui kuandika vizuri naomba msinihukumu!