Najuta ! Nalia ! Kwanini shetani nilimpa nafasi

Kwa kweri pore sana kaka yangu
Kira kitu kinatokea kwa sababu!

Mtafute yure urie muacha
 
72benqWMXM-6.png
Ha!... ana busha au nitafute mawani!
 
Najuta kwanini nilimpa nafsi shetani nikaachana na kipenzi changu .sasa hivi kila demu nitakaye mpata Majanga .hata yure wa kipindi kire nilipo kuwa homu kwa mzee kitaa ambaye naye niliachanae nikamtafuta akaniereewa. Duuh sasa naye kawa muhuni ! mnyoa viduku ! mvaa nguo fupi !mcheza shoo ! anakunywa bia ! Najuata nalia kwanini niliachana na wangu kipenzi alinivumilia sana lakini mie sikuherewa.
pore sana mkuu,rabda ukariombe msamaa...maana kira MTU anakosea
 
Jamani nafwa Mimi..nimekua kama chiz hapa nilipo....[emoji23] [emoji23] mbavu zyangyuuu plz...cjui mtanilipa
 
Una kipaji kizuri sana...
Hii ni Chorus .....
Bado Verses...

Wapi BONGO STAR SEARCH?

Back
Top Bottom