Najuta ! Nalia ! Kwanini shetani nilimpa nafasi

Najuta kwanini nilimpa nafsi shetani nikaachana na kipenzi changu .sasa hivi kila demu nitakaye mpata Majanga .hata yure wa kipindi kire nilipo kuwa homu kwa mzee kitaa ambaye naye niliachanae nikamtafuta akaniereewa. Duuh sasa naye kawa muhuni ! mnyoa viduku ! mvaa nguo fupi !mcheza shoo ! anakunywa bia ! Najuata nalia kwanini niliachana na wangu kipenzi alinivumilia sana lakini mie sikuherewa. !wadau nimeamuwa ni hii ya update hii thread yangu wadau kiswahili sijui kuandika vizuri naomba msinihukumu!
KWA KISWAHILI HICHO LAZMA WAKUKIMBIE,JIFUNZE KWANZA LUGHA KWAKUWA NDIO NYENZO YA MAWASILIANO.
 
Najuta kwanini nilimpa nafsi shetani nikaachana na kipenzi changu .sasa hivi kila demu nitakaye mpata Majanga .hata yure wa kipindi kire nilipo kuwa homu kwa mzee kitaa ambaye naye niliachanae nikamtafuta akaniereewa. Duuh sasa naye kawa muhuni ! mnyoa viduku ! mvaa nguo fupi !mcheza shoo ! anakunywa bia ! Najuata nalia kwanini niliachana na wangu kipenzi alinivumilia sana lakini mie sikuherewa. !wadau nimeamuwa ni hii ya update hii thread yangu wadau kiswahili sijui kuandika vizuri naomba msinihukumu!
Kwani we mwenzetu kabila gani?
 
Pore sana, sasa itabidi umtafute huyo Shetani iri apokee rawama zake mana hakuna namna nyingine ror [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji40] [emoji40]
 
Hahahahahahaha rara kidogo akirii itarudi na kujua wapi kwa kwenda
 
teh teh teh teh teh kila unapogusa unakura za uso tu
radhi si mpka itoke kwa wazazi hata mpenzi akakupenda akakuvumilia akakusubilia akawaacha watu wa kweri waliotaka kumuoa kwa ajiri yako
araf wewe unakuja kumuacha kirahisi rahisi tu kwa maneno machache ya kishujaa bila kujali ataumia kiasi gan
araf utamu unanoga ukute ameshaolewa na yeye ana ana wtoto wazuri wewe una hata wa kusingiziwa

wacha radhi ya mpenzi ikutafune
1f39c68d9fe1503fc64d68713a47565f.jpg

Yaan Mungu mwema huwa anajibu hapa hapa.
 
Najuta kwanini nilimpa nafsi shetani nikaachana na kipenzi changu .sasa hivi kila demu nitakaye mpata Majanga .hata yure wa kipindi kire nilipo kuwa homu kwa mzee kitaa ambaye naye niliachanae nikamtafuta akaniereewa. Duuh sasa naye kawa muhuni ! mnyoa viduku ! mvaa nguo fupi !mcheza shoo ! anakunywa bia ! Najuata nalia kwanini niliachana na wangu kipenzi alinivumilia sana lakini mie sikuherewa. !wadau nimeamuwa ni hii ya update hii thread yangu wadau kiswahili sijui kuandika vizuri naomba msinihukumu!

pole sana, vipi yule wa mwanzo uliyemwona hafai yupo bado? umecheki nae?

nadhani sasa umefuzu masomo yako na yafaa umrudie mkeo wa awali. wanawake sio nguo useme utanunua nyingine, wala sio nyanya useme utapata nyingine sokoni.

Kuna mwanamke ukikutana nae kwenye maisha halafu ukaashindwa kuishi nae utaishia kujuta milele, naonaga kama wanakua automade for some men but they accidentally fall to a wrong man.

Pole ila mtafute mkeo wa awali, hata kwa gharama, mpigie magoti muombe msahama kwa kumaanisha na akikubali muonyeshe upendo wa dhati, mpende asubui mchana na jioni, pende akiwa karibu na hata akiwa mbali nawe. najua wanawake wanaelewa ukiwa siriaz sio kama wanaume.

ni hayo tu kwa sasa.

ahsante
 
Back
Top Bottom