Najuta kupangwa Tanga Jiji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Najuta kupangwa Tanga Jiji

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ziltan, Feb 6, 2012.

 1. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,350
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nimefika kuripoti hapa Tanga Jiji kulingana na post yangu ya ualimu inavyonielekeza,
  lakini mpaka muda huu hakuna anayetujali iwe Afisa Elimu wala Mkurugenzi,
  wao jibu ni moja tu hakuna pesa,
  wadau mi nimetoka Bunda vijijin kwa nauli kidogo ya kukopa na sasa nko hoi kiuchumi,
  zaidi wananishauri kurudi nyumbani,
  kitu ambacho naona sio fear ukilinganisha na ahadi za serikali hii kwa kumtumia K majaliwa,
  naombeni maelekezo ili wahusika wapate/wasikie kdg kilio chetu
   
 2. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  pole mwalimu mwenzangu, jambo la msingi hapo ni kuweka mshikamano wa pamoja (solidality), kwa walimu wote mlio'report hapo Tanga jiji, pazeni sauti kwa kuushinikiza uongozi wa jiji uwapatie haki zenu... naamini haki yenu itapatikana.
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Nakushauri nenda kamuone Mkuu wa wilaya.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,635
  Trophy Points: 280
  ushauri mzuri mama.
   
 5. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  SOLIDARITY FOR REVER kaka, hapo itabidi mtafutane mlianzishe. Kuna uwanja hapo unaitwa Uhuru Park Garden, hapo ndipo movement zinapofanyika.
   
 6. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,660
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  Faiza dadangu utakonda bure kufanya kazi za waliolala ushauri wako pengine ungeutumia kwa wanao ili wafanye vizuri darasani. Hii ccm hii faiza ni zaidi ya uijuavyo utatenguka shingo bure kushupalia kuficha maovu yao huku wenyewe hata hawajali chochote. Faiza how long will you go on grieving over them?think twice
   
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ki ukweli ni hawajakosea inabidi urudi nyumbani pindi utakapotoka kwenye payroll ndo urudi kazini mana bila hivo utakufa na njaa ka ni pesa za kujikimu utazikuta ukirudi.
   
 8. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  kama waajiri wamekushauri urudi nyumbani wewe rudi tu malipo yakiwa tayari utarudi tena kazini. Cha muhimu wakuhakikishie usalama wa ajira yako utapo rudi kijijini
   
 9. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ki ukweli ni hawajakosea inabidi urudi nyumbani pindi utakapotoka kwenye payroll ndo urudi kazini mana bila hivo utakufa na njaa ka ni pesa za kujikimu utazikuta ukirudi.
   
 10. v

  valid statement JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Kwani huko nyumbani atakula nini sasa?
  Kinachotakiwa ni aingizwe kwenye payrol mapema.
  Mana hata wakichelewa kumlipa, kuja kumpa arrears zake watamsumbua sana.
   
 11. Tosha

  Tosha Member

  #11
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  hivi si ndio wewe ulisema unaenda kulipoti DAR?
  hapa ndipo ulipo sema hayo https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/218620-walimu-wanaoripoti-ajira-mpya-hakuna-pesa.html

  haya Mwl umepangiwa kotekote?
   
 12. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #12
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,350
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  jamani samahani sana wana great thinker kwa heshima ya jukwaa hili naomba msinione kama si mtumiaji mzuri wa chombo hiki mhimu na chenye kutusaidia kwa mambo mengi mazuri,
  ukweli ni kwamba mi niko tanga jiji,
  isipokuwa kuna jamaangu ndio kapangwa temeke dar so siku naandika ile thread ya kuongelea mambo ya dar nilivaa uhusika wa jamaangu,
  so sorry nisameheni bure ndugu zangu na kwa pamoja tuendelee kutumia chombo hiki kwa manufaa ya jamii yetu,
   
 13. Tosha

  Tosha Member

  #13
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  ooh hii ndio JF!binafsi nimekuelewa sana na nakupa pole sana wewe na walimu wengine!daah yani mmesoma kwa taabu wengine ndio hivyo hata mikopo(bumu) ilikuwa shida huku vyuoni na mmesubir kwa hamu na muda mrefu hizo post zenu huku mkiahidiwa PESA mtazikuta eti walichelewa kuwapangiwa walikuwa wanasubiri pesa kumbe ni maneno matupu!

  nimesikia baadhi ya halmashauri wamepewa wengine zote huku wengine nusu na wengine ndo hivyo tena wameambiwa wasubiri serikali hajituma pesa lakini kibaya zaidi ni baadhi ya ofisi za maafisa Elimu na wakurungenzi kutojipanga vizuri yaani hawajui km mmekaa nyumbani muda mrefu na mmepigika sana

  Wapi Chama Cha Walimu?nadhani chama chenu kilitakiwa kiwe mstari wa mbele kumbuka jmaa wanaanza kukata ada ya uanachama hata km haujaamua yaani eti ukiwajiriwa tu aoutomatic unakuwa mwanachama wao na makato yanaanza so wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kuhakikisha hampati shida km baadhi waliipata!
   
 14. Entuntumuki

  Entuntumuki Member

  #14
  Feb 8, 2012
  Joined: Dec 24, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana mkuu!
   
 15. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #15
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,350
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ahsante mkuu ila kwa taarifa ni kwamba hapa tanga wako kwenye process ya kuanza kulipa kesho ila pesa waliyotumiwa toka TAMISEMI ni nusu ya hela yaani watalipa pesa ya kujikimu ya siku 3 badala 7,
  so inasikitisha sana mtu unaanza maisha ya jiji kwa laki 2,
  yaani upange chumba ununue kitanda na vitu vingine na ule hadi mwisho wa mwezi, hii si kumuweka ktk umaskin maisha yake yote
   
 16. I

  IFRS 9 Senior Member

  #16
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu we ni noma
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Anayemuingiza mwalimu kwenye payroll sio afisa elimu, bali ni hazina. Trust me, hata kwa waajiriwa wa mawizara yaliyopo dar it takes miezi hadi 3 to 6 kuanza kupata mshahara. Posho ya kujikimu ya siku 14 haiwezi kukuweka jijini. Fuata ushauri wa afisa elimu, maadamu umesharipoti nenda kijijini kalime ukivuna njoo uangalie ajira yako. Ndo serikali yenu hiyo, maisha tambarare!
   
 18. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #18
  Feb 11, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  umeumbuka!
   
 19. d

  dmatemu JF-Expert Member

  #19
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 591
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 60
  Kaza ****, maisha popote
   
Loading...