Walimu wanaoripoti ajira mpya hakuna pesa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walimu wanaoripoti ajira mpya hakuna pesa.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ziltan, Feb 1, 2012.

 1. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Niko kwenye basi toka Bunda kwenda kuripti DSM -Temeke, nilikopangwa post yangu ya ajira ya ualimu,
  lakini nimewasiliana na wenzangu watatu ambao washaripoti mmoja yuko temeke kaambiwa warudi j4 kwa kuwa mhusika hayupo,
  mwingine yuko bariadi kapokelewa ila wameambiwa hela hakuna, na mwingine yuko manyoni kaambiwa hela hamna, yaani hapa niko kwenye basi najuta kwa nini naenda kuripoti maana sina salio na hali ndio hiyo
   
 2. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  nani huwa ana ajiriwa na kupewa hela cku hiyo hiyo? katafute kazi za kufanya acha uzushiiiii
   
 3. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  huelewi mchakato wa hizi ajira,
  ndio maana unatoa lugha chafu
   
 4. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  We mwanamke au me?
   
 5. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  vumilia, bado kidogo mmeo atoke kazini, mbona kelele hivyo?!!
   
 6. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Teacher huyooooo!!! Ukifika nenda CWT ukaombe msaada. Muone Ezekiel Oluoch.
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Uu mgeni na ajira za serikali hasa Ualimu?lazima na ela ya kukuback up atleast kwa miezi sita
   
 8. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ukiripoti kazini kwa mara ya kwanza unapaswa kujaza form mbalimbali za mkataba wa ajira then mengine yanafuata.
   
 9. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Pesa za kusafirishia mizigo ipo kwa walimu wapya?
   
 10. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwa tmk ni kweli, ila kwa ilala kuna dogo kasajiliwa leo ila hela bado wanafuatilia kesho.

  Mkuu Ziltan karibu dsm, mm ni teacher pande hizi.
   
 11. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  mkuu mpatanishi ahsante sana wangu, ngoja nijipange ntaku pm ili tufahamiane
   
 12. M

  Mr.creative JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  huyo alokwambia muongo mi nipo manyoni kilichofanyika ni kujaza forms na kupelekwa sehemu ya msosi! ONYO: yakuambiwa changanya na yakwako usiwe mpumbavu
   
 13. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  kabisa mkuu itakua vyema sana mkuu walimu tukawa pamoja. Hoping tutasaidiana kuleta mapinduzi pale cwt mana wamezidi porojo.
   
 14. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  hv mwalimu ambaye ana fikra pevu huo msosi ndo pesa zako za kujikimu,mizigo na on transit .utakapoanza kupiga miayo utaipata hiyo misosi ya kukupumbaza tuone kama hautakuwa wa kwanza kulalamika humu umechakachuliwa pesa zako
   
 15. Z

  ZeTicha Member

  #15
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kinondoni tumeripoti leo, tumeandka tu majina, tumeambiwa turudi ijumaa...
  Sasa tukirudi ijumaa, ndo tutajua, mie ninachotaka ni waraka wa elimu namba 9 wa 2009, unaoonyesha stahk zangu! Huwez kudai kitu usichokjua..
  Walimu wapya tujtahd kubadl uozo uliopo kwa jpo kdogo kw mahal tulpo.
  Njo mkuu stahk zako utapata. Jasho la mtu halpotei.
   
 16. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #16
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  dah!! huko ulikopelekwa uligonga msosi aina ya bange au? Mbona unaporomosha matusi mithili ya uharo
   
 17. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #17
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Zeticha nimeshafika mkuu jana kwa sasa nipo kigogo naomba 2wasiliane namba yangu ni 0718646327
   
 18. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #18
  Feb 2, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha utoto ndugu!Nenda karipoti kituoni,pesa utapata tu!Fedha za serikali hazitolewi kama njugu!Kama huna pesa,kituo chako kitakuwezesha uishi mpaka fedha zitakapoletwa!
   
 19. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #19
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  unatanguliza pesa kwa kuwa unataka upewe halafu usifanye kazi. wewe si una ajira nyingine? kuna jamaa mmoja anasema ataenda kuriport, kisha akipewa hela, huyoo anarudi. anasema kila siku serikalini wanakula pesa nyingi, sasa ni mda wake wa kuzidibua na yeye
   
 20. M

  Mr Mayunga JF-Expert Member

  #20
  Feb 2, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mambo yatakua mazuri,hela ni mchakato hazitoki kiholela!m.f nimeripoti wilaya 1 hvi,jana tumejaza makaratasi mbalimbali wao wataanza kuyapitia kama yako sawa wanatuingiza kwenye Pay row,hauoni mchakato unavyo enda?
   
Loading...