Najuta kuoa

Umetupa mabaya yake, , ya kwako hujatupa

Hili ni Tatizo kubwa la story ya upande mmoja
 

Pole sana Brother . Inaoneka mpole sana , gawa vibao mara mbili mara tatu uone . Lazima akuheshimu , labda kama amepata mchepuko
 

Pole sana mkuu
 
Unalilia kama vile sio mwanaume. Usipende amani wakati wa vita.
 
Acha kumdekeza huyo mwanamke, wakati mwingine ndoa bila ubepari lazima ikushinde inawezekana ulimchekelea mwanzoni.
 
Achana nae ndugu atakupasua kichwa, muda huu mwamshe mwambie kiupole kwamba umeshindwa kuendelea na maisha hayo! Mimi mwenye nakwambia najuta kuowa, nasitarudia kosa kama hilo kamwe! Maisha nimafupi sana kuwa stressed kkwq sababu ya mwanamke ndugu.
 
Pole sna...
 
Hizo dalili uliziona hata kabla hujamuoa ila ukajifanya utamvumilia, MKUU hapo hakuna biashara tena jichunguze kama kuna aina ya kero yoyote unaisababisha kama hakuna piga chini maisha bado matamu huku nje.
Mkuu umesema ukweli.
Inaonekana kabla hajamuoa alikuwa anatumia nguvu nyingi kumbembeleza kimapenzi na akajua kwamba akishamuoa itakuwa mdebwedo.
 
Hata mm naona hyo kesi ni ndogo sana.
Nasema kesi ni ndogo kwa sababu hawajagombana hadi kufikia kutishiana maisha.
Ni ishu tu ya kutumia akili tu kumchekecha tu huyo mwanamke, inawezekana Kuna kitu anakitaka ila Anashindwa kusema.
Kwa hyo ingekuwa ni Mimi ningemnyenga na vizawadi vidogo vidogo angefurah badae angefunguka tu anachokitaka.
Ila Kama hujazoea wanawake utatumia nguvu nyingi mwisho wake utaharibu halaf kesi inageuka kwako unaonekana ww ndio una hatia.
 
Unadeka halafu una maisha ya muvi. Huyo mke hana neno. Unataka kushukuriwa mno. You are a disgrace!
 
Muulize kama wewe ni kaka yake au mjomba wake.

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Mkiambiwa oa kabila lako mnasema mapenzi hayaangalii kabila. Ona sasa unavyopelekeshwa..

Jitahidi uwe unampiga hata mara mbili kwa mwezi, ndio wanatakaga.
Muda mwingine kabila pia ni sababu mm naamini.
Kuna jirani yangu mmoja maeneo ninapoishi ameoa mkurya na amemzalisha mtoto mmoja wanaishi wote.
Basi Yule mwanamke yuko huru sana kufanya atakavyo bila uwoga wowote.
Wanaume wa nje wanapiga sana,yaani ukiwa na hela tu unaburuza unavyotaka.
Mimi mwenyewe amenishobokea sana ila nikawa namkwepa sikupenda uhasama na jamaa na pia huwa namuonea huruma sana yule jamaa.
Na story nyingine Kuna mama mmoja wa kikurya nilimpataga kwenye viwanja vya bata nikamwita meza yangu nikachukua namba yake tukaanza mahusiano nilibutua sana Yule mama hadi leo huwa akija dar kwa ndugu zake lazima anitafute na ndugu zake wanajua kila kitu lakini ana mme wake na familia yake kule Arusha na tangu nifahamiane naye inakaribia miaka minne hadi sasa.
Kwa hyo Kuna aina fulani ya wanawake ili uende nao sawa inakubidi uwe mtu bize sana,usiwe mfuatiliaji na usiwe na wivu ndio utawaweza vinginevyo utakufa na presha.
 
michepuko inaletaga balance kwenye ndoa
Dawa ya moto ni ......... Nngekuwa mm, kitambo nshachukua uamz. Nagonga kitaa, nkirudi namsalimia kimoyomoyo nalala kimya kimya.

Huyu atakuwa kashapata buzi mtaani linamkuna wakat wa mchana. Ndo maana jamaa akifka yeye hana njaa.
 
Kwa mtu ambae hayajamkuta atakubeza lakini Mimi yalishanikuta hayo nikabembeleza tukashirikisha wazazi,tukaenda Hadi kwenye mabalaza ya usuluhisho lakini wapi mwanamke akibadilika huwezi kumnyoosha tena nilipiga sana makofi lakini wapi nikaja kugundua kuwa alidanganywa na makundu kunifanyia madawa ya kienyeji akahisi tayari ameniwin kwakweli nilikuwa na stress sana sikupenda kumuacha na watoto wangu lakini ilifika mwisho nikafanya maamuzi ya kumuacha saiz Nina Amani moyoni mwangu Hawa watu kaka wanakera sana alafu huwa wanabadilika wakishapata mtoto tu,Mwanzo munaishi vizuriii kabisa mzalishe sasa utashangaa anabadilika
 
Mkuu najitahd kukuDM kidogo
 
Mkuu kuna wanawake jeuri duniani usiombe ukutane nao. Mdogo huambiwa na mkewe leo sijisikii kusex. Na hagusi. Lakini mwanamke ashapanga ratiba na mchepuko. Aliwahi ambiwa nina mimba ila siyo yako, kumwuliza ya nani akajibu ya mwanaume. Na vituko vingine kibao.
Dunia imebeba watu na viatu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…