Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

Pile sana mkuu ila hapo sasa hata mzigo unachapiwa sina ka kukushauri zaidi ya kukuombea.
 
Pole na Hongera sana mkuu kwa uamuzi huo uliochukua,tulia na huyo mke wako mpya ikiwa hana mume mfanye maisha!!!
hahah halafu na huyo dada aje apa analia na kujuta kuolewa na mwanaume mwenye watoto.lol (just saying):becky:
 
Life is too short to be frustrated! Achana nao. Unapopanda daladala likagoma kwenda pahala fulani, je - unabaki kwenye gari tu ukidhania kufika au unashuka na kukamata mchuma mwingine? Kanuni hii hii pia kwa maisha. Sawa!
 
Huyo mwingine atawapenda wanao? Tulia. Tafakari. utaanzisha familia mpya ambayo huenda hukupanga, sasa huyu baba mwingine, huyu wanashea mama, huyu baba na mama mmoja Duh. Pole.
 
Baba vuta kitu kipya cha kibongo utulie nacho maisha menyewe mafupi stress za nn kaka
 
Upo tayari watoto walelewe na mwanamke mwingine? Kuoa mwanamke aliye na mtoto haona shida kamma mwanamke mwenyewe atakuwa anajitambua na wewe toka mwanzo hamkufwata makubaliano mliowekeana. Mwanzo umesema mliwekeana masharti mkayavunja wenyewe kumbuka mtoto hana kosa.
 
Bora uoe malaya ambae hajazaa, kuliko kuoa malaika alizaa na mwanaume mwingine

unajidanganya ndugu yangu. malaya ni malaya tu, na atabaki kuwa malaya tu...bora uoe mwanamke mwenye watoto hata wanne lakin si mwanamke malaya
 
kwakweli hii ni maumivu kuoa sikipimo kwamba hamtaachana chakufanya tafuta mama mwema wakuja kulea watoto wako salama utaapoa ila waarabu hatakama angekuwa hana mtoto hawafaii kwa waafrica amini hilo 80% ni wasumbufu kuwa makini na kumchunguza mke mpya utakae mmpata........
 
Kwani wanawake wameisha duniani? huyo kashakupa faida ya watoto..akili zake inathamini rangi yao,,piga chini maisha siyo kuwaza mke tu kila siku tafuta atakayekupa raha upate muda wa kufanya yanayokujenga
 
angalia mapema kaka na huyo mpya asije kuwa nae ana mtoto vilevile ukarudi hapa kwa ushauri tena..pole sana na kila la kheir!
 
Wewe ulitegemea na hao wenye watoto waolewe na wanawake wenzao??? Mbona wanaume wenye watoto wanaoa acha kudhalilisha
 
Back
Top Bottom