Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

Umenikumbusha msemo kuwa Kipya Kinyemi, kulipa ada isiwe sababu ya kumwacha, kama una lingine lililodhihi na huyo ex- wake, leta hoja.
 
Hii Ni Kawaida kwa watu waliowahi kuwa pamoja na kupata mtoto,yule mtoto ndio kiunganishi hapo,pole sana mkuu ila unatakiwa kufahamu kuwa mapenzi yao lazima yaendelee ,,,,,mpaka baba akifa .Kwa swala lako uamuzi ni wako kwa kuwa ulijua haya yote ukafumba macho kwa kigezo cha penzi lililokomaa kwa bibi wa kiarabu.
 
teh teh teh katika kanisa katoliki huwa kuna sakramenti ya matrimoni. Hii ni sakramenti ya ndoa, inayojumuisha jinsia mbili tofauti kama utambulisho wa ndoa halali. Kanisa huwa linaamini kuna makubaliano ya watu wawili (wanandoa watarajiwa) kabla ya kufanga ndoa. Sasa kama mmoja kati yao alidanganya ili ndoa ifungwe na mwenzi amegundua baada ya kufunga ndoa kama alidanganywa, ana haki ya kuvunja ndoa.

Hivi unajuwa hata unachochangia hapa ni nini? Maana umeshapotea kabisa.
 
MPE taraka yake,sipendi kabisa mwanamke mwenye mtoto,kuna mdada mmoja anamtoto wa miaka minne,alilazimisha nimuoe nikasema NOOOOO,tukaachana
 
Ningekuwa wewe mleta mada nisingekuja hapa kuuliza kwa kuwa majibu yako wazi kuwa ni kupiga chini kabisa tena bila kuangalia nyuma. Jamani mambo mengine mbona majibu ni wazi mnakuja hapa kuuliza kitu gani? Subiria tu kuletewa mtoto mwingine ulee, wa mwanaume mwenzio. Wanakutumia!! Waarabu wanajuana kwa Vilemba!!! Kosa kubwa ulifanya mkuu na anza mapema kuachana na huyu mwanamke!!
 
Hii Ni Kawaida kwa watu waliowahi kuwa pamoja na kupata mtoto,yule mtoto ndio kiunganishi hapo,pole sana mkuu ila unatakiwa kufahamu kuwa mapenzi yao lazima yaendelee ,,,,,mpaka baba akifa .Kwa swala lako uamuzi ni wako kwa kuwa ulijua haya yote ukafumba macho kwa kigezo cha penzi lililokomaa kwa bibi wa kiarabu.

kiunganishi mpaka gesti. Labda hilo jiarab lichomoke.
 
Mwenye mtoto sioi hata kwa bunduki au mamilioni labda huyo mtoto awe hana baba.. Maana ngono na baba wa huyo wa mtoto na mwanamke hazitakwisha... Istoshe ASALI NI TAMU ILAINAPO KUWA NA MATOTO YA NYUKI DAH UVUMILIVU... Unahtajika mana hutochoka kuchomwa na miba ya matoto ya nyuki mana hata mtoto wa nyuki ni mtoto.. Na ndo maana madingi mengi ya kufikia yanakulaga hao watoto kama ni wakike baadae ingawa sio poa KABISA! Ila mi sioi mwenye mtoto hata ka bunduki asee! NYAMA ALE NANI UNILETEE MIMCHUZI MIMI KHAA HATA CJARIBU. Kuna kidem kinasoma IFM KINA MTOTO ET NIKIOE NAKICHAA MIMI! Hata kilivo nambia tu kinamtoto nimebadirisha na namba za cm na kuhama nilipokua nakaa maana ctaki hata kucikia shenz! Mliwe huko uje huku nimalizie hakuna ----- hapa MWAMBA MLETA THREAD TUPA kule hiko kiarabu koko na toto lake shenzi Oa huyo kama hana mtoto. Maana hata kama ukitaka unyumba kwa huyo KOKO UTAPATA TU MANA KIUNGANISHI NA WEWE UNANCHO KWA ATAKAYE OA. Ukipuuzia ushauri huu UNALO UCJE LALAMA TENA HAPA JF MAANA MIDEMU Mizuri karibia yote imezalishwa au imetoa mimba kama vp anaebisha akbndamane ninahasira sana na mnao tega hovyo af mzae huko et uje nikuoe nyoo (exclusion kwa wajane) unabisha andamana anzia hapo ulipo mpaka magogoni kasemelee au mpaka tamwa na Tawla cjui huko huko eeh nenda alah shenzi yenu. Nami nilikuamuhanga wa hyo kaka ila tuupa kule koko hlo.
 
MPE taraka yake,sipendi kabisa mwanamke mwenye mtoto,kuna mdada mmoja anamtoto wa miaka minne,alilazimisha nimuoe nikasema NOOOOO,tukaachana

SAFIII.. Af hapo hapo hayataki kuolewa na wabeba zege hata nyambafi khaa hadi kichefuchef grrlll
 
Pole sana mkuu, wenye watoto wako hivyo siku zote
Ni mara chache sana mwanamke kuwa na mtoto then wakatemana mazima na mzazi mwenzake lazima atamega na hela utatoa tu piga chini
 
huyu jirani yeye ni bikira ama unauhakika gani yeye han mtotot kwanini ulimwambia matatizo yako na mkeo \



wakati mwingine mnakuwa vichwa vya panzi na huyo atakuwa kachukulia matatizo yenu advantage sasa anakutumia be warned wanawake sisi tuna akili za ziada kwenye mambo hizo usije lia zaidi ya hapo
 
Back
Top Bottom