kaka km
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 1,336
- 681
Mkuu utaniua Kwa kichekokwani mkuu wewe UMESHAHOWA au bado hupo hupo sana?
Mkuu utaniua Kwa kichekokwani mkuu wewe UMESHAHOWA au bado hupo hupo sana?
Mimi nakupa ushauri wa kiroho ( Katika perspective ya African Spirituality ). Katika ulimwengu usio onekana, ukimuoa mwnamke ambaye tayari ana mtoto maana yake ni kwamba, una uhusiano wa kiroho na huyo mtoto. Wewe na huyo mtoto wa huyo mwanamke mliwahi kuwa na uhusiano wa damu, katika maisha yenu yaliyopita (Previous life ). Uhusiano huo wa kiroho unaweza kuwa wa heri au shari. Wa heri kwa maana ya kwamba, amekuja kulipa fadhila ulizo mfanyia katika maisha yenu yaliyo pita, na wa shari kwa maana amekuja kulipa kisasi kwa mambo mabaya uliyo mfanyia katika maisha yenu yaliyo pita. So kuwa na mwanamke ambaye tayari ana mtoto sio tatizo sana, kama unaamini katika hicho nilicho kiandika. BUT IF U DONT BLV ON THAT! MTAANI HUKO WANASEMAGA " unajifanya unajua sana kulea watoto wasio kuhusu". But all in all. Kuoa mwanamke mwenye watoto tayari kuna changamoto sana. Mtaani kwetu kuna jamaa mmoja alikuwa na watoto wawili, baadaye akaoa mwanamke ambaye na yeye alikuwa na watoto wawili. Kwa pamoja wakazaa watoto w engine watatu. Siku moja mume akakuta watoto wao wa nje ( wale wanne ) wanawapiga watoto wao wale watatu. Basi jamaa akampigia simu mke wake akimwambia " MY WIFE COME HOME EARLY, BECAUSE MY CHILDREN AND YOUR CHILDREN ARE BEATING OUR CHILDREN "
Unaweza kunisaidia mawazo kuhusu tatizo sugu la ada ya mtoto maana ndilo tatizo lililonileta hapa kuomba ushauri
Hilo la uzinzi lina ngazi ya familia na wazee walishahusika nalo
Kama ingekua ni uzinzi pekee nisingekuja hapa lina mahala pake
Hili LA mtoto ndio limeondoa amani ya nyumba na limeshindikana kwenye ngazi zote
Watu wengi wananipa ushauri kwa jambo ambalo sijaomba ushauri (uzinzi) na ambalo Nina suluhisho tayari
Wanaacha kichwa cha somo husika ambacho ndio kimebeba dhana nzima ya somo hili
huyo mwarabu aliezaa na mkeo jua na yeye ana mke wake, ila kashindwa kuoa mke wa pili. sasa jua kwamba huyo dada alitafuta pa kuangukia tu baada kushindwa kuolewa mke wa pili.kwa bahati nzuri kaangukia kwako.
sasa kaa ukijua huyo mkeo ni kimada wa mwarabu miaka 800.
kazi kwako kuamua kama utaishi na mke wako ila ni kimada wa mwarabu au uwaachie we utafute mwengine,
na wanaume wenye watoto je inakuwake hapo sio wa kuolewa nao
Umemzungusha sana, kafanywa 'mume bwe.ge'
Tulia kaa chini tafakari vizuri ikiwezekana wahusishe watu wazima ili upate ushauri wa busara zaidi kuhusu ndoa yako asikuambie mtu hakuna ndoa isiyo na kasoro au raha tupu kuna na maudhi pia tunavumiliana tu kwa vile hakuna mkamilifu....
Hao wanakuambia muache wengine hata hao wake hawana na hawajui lolote kuhusu maisha yako na wanakushauri ukitelea tu wote wanakukimbia haya ni maisha yako follow your heart na usikurupuke...
Pole sana kwa matatizo inshaAllah mungu atakua nguvu..