Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,799
- 95,622
Kwamba wanaume wanapendana sana, hawafanyiani mambo mabaya kama sie wanawake. Si unaona jamaa anavyompenda rafiki yakeUnamaanisha nini mkuu

😂😂😂😂Dogo Punguza kuangalia Chanel ya sinema zetu
Mwana kulitafuta mwana kuyakanyagahaya mwanakulitafuta.......
kwakweli mwana kuyakanyanga😂😂😂😂Mwana kulitafuta mwana kuyakanyaga
Subilia hukumu au ukimbie mjiHabari .
Katika harakati zangu, nimejikuta kwa makusudi kabisa natongoza mke wa rafiki yangu ilihali najua wazi kabisa mume wake ni rafiki yangu wa karibu sana na tunaelewana kweli kweli.
Kiukweli huyu dada nilimtongoza kwa makusudi na kwa lengo la kupima msimamo wake kwenye ndoa yake yeye na rafiki yangu upoje, alionyesha kunikataa sana ila nilimlagai kwa kila namna na mwisho wa siku akaamua kunikubalia na tukaweka miadi ya kulana yaani awe ananipa utelezi ndugu zangu na tukakubaliana hivyo na nikaanza rasmi zoezi la kumkula kwa makusudi tu.
Cha kushangaza sasa ananiganda sana na kila mara analalamika kuhusu mumewe hawezi kumridhisha yaani anataka kwangu tu na nikimuuliza vipi kuhusu rafiki yangu unampa anasema nitakua nampa akojoe tuu ili alale maana hapendi kusumbuliwa nae tena, na anasema kwangu ndio anaridhika sana na anajiona kabisa kapata mwanaume haswa.
Wakuu sasa nimejaribu kila mbinu ya kumpiga chini na kukata nae mazoea lakini amekua kama pepo lisilo sikia kabisa yani ananikwanza kiujumla kawa king'ang'anizi mpaka basi mpaka naona hapa sasa anataka kuniharibia uhai wangu kwa kweli.
Moyo unanihukumu sana niwapo na rafiki yangu na ajui kama shemeji na mkaza , japo anaonekana ni mtu wa kuniamini sana aisee.,
Wazee nifanyaje kuepuka hii laana kuendelea kunitafuna maana inanipa majuto sana ilihali najua huyu ni mke wa rafiki yangu kabisa na nataka niachane nae ila kawa king'ang'anizi hasa mpaka anatishia sasa usalama wangu?
Asubiri karma itavyomtendea kwa kadiri ya mabaya yake [emoji23]kwakweli mwana kuyakanyanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
na kweli, halafu anasema eti rafiki yake,, kuna urafiki kweli apo?🤷♀️🤷♀️Asubiri karma itavyomtendea kwa kadiri ya mabaya yake [emoji23]
Mshamba hachekwi we andaa mafuta ya naziHabari .
Katika harakati zangu, nimejikuta kwa makusudi kabisa natongoza mke wa rafiki yangu ilihali najua wazi kabisa mume wake ni rafiki yangu wa karibu sana na tunaelewana kweli kweli.
Kiukweli huyu dada nilimtongoza kwa makusudi na kwa lengo la kupima msimamo wake kwenye ndoa yake yeye na rafiki yangu upoje, alionyesha kunikataa sana ila nilimlagai kwa kila namna na mwisho wa siku akaamua kunikubalia na tukaweka miadi ya kulana yaani awe ananipa utelezi ndugu zangu na tukakubaliana hivyo na nikaanza rasmi zoezi la kumkula kwa makusudi tu.
Cha kushangaza sasa ananiganda sana na kila mara analalamika kuhusu mumewe hawezi kumridhisha yaani anataka kwangu tu na nikimuuliza vipi kuhusu rafiki yangu unampa anasema nitakua nampa akojoe tuu ili alale maana hapendi kusumbuliwa nae tena, na anasema kwangu ndio anaridhika sana na anajiona kabisa kapata mwanaume haswa.
Wakuu sasa nimejaribu kila mbinu ya kumpiga chini na kukata nae mazoea lakini amekua kama pepo lisilo sikia kabisa yani ananikwanza kiujumla kawa king'ang'anizi mpaka basi mpaka naona hapa sasa anataka kuniharibia uhai wangu kwa kweli.
Moyo unanihukumu sana niwapo na rafiki yangu na ajui kama shemeji na mkaza , japo anaonekana ni mtu wa kuniamini sana aisee.,
Wazee nifanyaje kuepuka hii laana kuendelea kunitafuna maana inanipa majuto sana ilihali najua huyu ni mke wa rafiki yangu kabisa na nataka niachane nae ila kawa king'ang'anizi hasa mpaka anatishia sasa usalama wangu?
Ulipaswa kutuuliza kabla hujaharibu tukupe merits and demerits of such stupidity IQ.Habari .

Nyinyi ndio mnasabaisha watu wanang'olewa meno na praizi na kutobolewa macho na bisibisi watu km nyinyi ndio chanzo, ulipoanza huo ujinga ulimuomba nani ushauri ulikuja hapa kuomba ushauri au ? Alafu unasema ulifanya makusudi jamaa akigundua akamtoboa macho utakua umepata Nini wewe jini kiwete wewe asidi mtu mbaya kabisa weweWazee nifanyaje kuepuka hii laana kuendelea kunitafuna maana inanipa majuto sana ilihali najua huyu ni mke wa rafiki yangu kabisa na nataka niachane nae ila kawa king'ang'anizi hasa mpaka anatishia sasa usalama wangu?