Najuta kumtongoza mke wa rafiki yangu

Najuta kumtongoza mke wa rafiki yangu

Brother.....heshima ni kitu Cha bure, jitahidi kuheshimu ndoa za watu. Unayemfanyia hivo ni mke wa jamaa wako hivyo haijakaa poa
 
Punguza kuangalia pornographies. Fantasies zinakuharibu..
 
Mwambie umeenda kupima ukakutwa na maamukizi ya HIV alafu anza kumlaumu kuwa ameamua kukuambukiza ngoma makusudi.

Asipokata mazoea kapime kweli Bro 😂😂
Hapo Ni sawa na kuwasha bomu la utambi afu ukalishikilia ukitegemea muujiza,Kuwa mvua inyeshe utambi uloane,lizimike. Hahahahahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom