Najuta kumtongoza mke wa rafiki yangu

Najuta kumtongoza mke wa rafiki yangu

na kweli, halafu anasema eti rafiki yake,, kuna urafiki kweli apo?[emoji2368][emoji2368]
Haya mambo ndio uwa unasikia story watu wameuana kisa wivu , issue inakuwa beyond wivu wa kimapenzi ,shida inakuwa ni kisasi sababu ww ni rafiki yangu lakini siku zote unaniona mjinga fala unani enjoy tu ,sasa show inayofuata ni kumkuta mtu kwenye kiroba
 
aisee 😳
 
Habari .

Katika harakati zangu, nimejikuta kwa makusudi kabisa natongoza mke wa rafiki yangu ilihali najua wazi kabisa mume wake ni rafiki yangu wa karibu sana na tunaelewana kweli kweli.

Kiukweli huyu dada nilimtongoza kwa makusudi na kwa lengo la kupima msimamo wake kwenye ndoa yake yeye na rafiki yangu upoje, alionyesha kunikataa sana ila nilimlagai kwa kila namna na mwisho wa siku akaamua kunikubalia na tukaweka miadi ya kulana yaani awe ananipa utelezi ndugu zangu na tukakubaliana hivyo na nikaanza rasmi zoezi la kumkula kwa makusudi tu.

Cha kushangaza sasa ananiganda sana na kila mara analalamika kuhusu mumewe hawezi kumridhisha yaani anataka kwangu tu na nikimuuliza vipi kuhusu rafiki yangu unampa anasema nitakua nampa akojoe tuu ili alale maana hapendi kusumbuliwa nae tena, na anasema kwangu ndio anaridhika sana na anajiona kabisa kapata mwanaume haswa.

Wakuu sasa nimejaribu kila mbinu ya kumpiga chini na kukata nae mazoea lakini amekua kama pepo lisilo sikia kabisa yani ananikwanza kiujumla kawa king'ang'anizi mpaka basi mpaka naona hapa sasa anataka kuniharibia uhai wangu kwa kweli.

Moyo unanihukumu sana niwapo na rafiki yangu na ajui kama shemeji na mkaza , japo anaonekana ni mtu wa kuniamini sana aisee.,

Wazee nifanyaje kuepuka hii laana kuendelea kunitafuna maana inanipa majuto sana ilihali najua huyu ni mke wa rafiki yangu kabisa na nataka niachane nae ila kawa king'ang'anizi hasa mpaka anatishia sasa usalama wangu?
Dhambi ina gharama kubwa.
 
Siku ukija pigwa pipe na rafiki yako uje usimulie pia sio ukae nalo moyon mwisho wa siku ujinyonge
 
Sio amekuwa kama pepo wewe ndiye pepo
Tena shetani, unacheza na hisia za mwanamke umemshawishi kwa kila namna leo unasema ni king'ang'anizi. Eti unaimia. Baya likukute mja laana wewe.
 
Habari .

Katika harakati zangu, nimejikuta kwa makusudi kabisa natongoza mke wa rafiki yangu ilihali najua wazi kabisa mume wake ni rafiki yangu wa karibu sana na tunaelewana kweli kweli.

Kiukweli huyu dada nilimtongoza kwa makusudi na kwa lengo la kupima msimamo wake kwenye ndoa yake yeye na rafiki yangu upoje, alionyesha kunikataa sana ila nilimlagai kwa kila namna na mwisho wa siku akaamua kunikubalia na tukaweka miadi ya kulana yaani awe ananipa utelezi ndugu zangu na tukakubaliana hivyo na nikaanza rasmi zoezi la kumkula kwa makusudi tu.

Cha kushangaza sasa ananiganda sana na kila mara analalamika kuhusu mumewe hawezi kumridhisha yaani anataka kwangu tu na nikimuuliza vipi kuhusu rafiki yangu unampa anasema nitakua nampa akojoe tuu ili alale maana hapendi kusumbuliwa nae tena, na anasema kwangu ndio anaridhika sana na anajiona kabisa kapata mwanaume haswa.

Wakuu sasa nimejaribu kila mbinu ya kumpiga chini na kukata nae mazoea lakini amekua kama pepo lisilo sikia kabisa yani ananikwanza kiujumla kawa king'ang'anizi mpaka basi mpaka naona hapa sasa anataka kuniharibia uhai wangu kwa kweli.

Moyo unanihukumu sana niwapo na rafiki yangu na ajui kama shemeji na mkaza , japo anaonekana ni mtu wa kuniamini sana aisee.,

Wazee nifanyaje kuepuka hii laana kuendelea kunitafuna maana inanipa majuto sana ilihali najua huyu ni mke wa rafiki yangu kabisa na nataka niachane nae ila kawa king'ang'anizi hasa mpaka anatishia sasa usalama wangu?
Chuduz zitawaua punguzeni tamaa
 
Muosha huoshwa hata wako analiwa vzur na anasema we hujui kitu kama unakumbuka ile siku ya jumamos ulimpigia cm akapokea kama anakimbia hv ndo huyo mimi nilikuwa namkimbiza 😀😀😀😀😀
 
Habari .

Katika harakati zangu, nimejikuta kwa makusudi kabisa natongoza mke wa rafiki yangu ilihali najua wazi kabisa mume wake ni rafiki yangu wa karibu sana na tunaelewana kweli kweli.

Kiukweli huyu dada nilimtongoza kwa makusudi na kwa lengo la kupima msimamo wake kwenye ndoa yake yeye na rafiki yangu upoje, alionyesha kunikataa sana ila nilimlagai kwa kila namna na mwisho wa siku akaamua kunikubalia na tukaweka miadi ya kulana yaani awe ananipa utelezi ndugu zangu na tukakubaliana hivyo na nikaanza rasmi zoezi la kumkula kwa makusudi tu.

Cha kushangaza sasa ananiganda sana na kila mara analalamika kuhusu mumewe hawezi kumridhisha yaani anataka kwangu tu na nikimuuliza vipi kuhusu rafiki yangu unampa anasema nitakua nampa akojoe tuu ili alale maana hapendi kusumbuliwa nae tena, na anasema kwangu ndio anaridhika sana na anajiona kabisa kapata mwanaume haswa.

Wakuu sasa nimejaribu kila mbinu ya kumpiga chini na kukata nae mazoea lakini amekua kama pepo lisilo sikia kabisa yani ananikwanza kiujumla kawa king'ang'anizi mpaka basi mpaka naona hapa sasa anataka kuniharibia uhai wangu kwa kweli.

Moyo unanihukumu sana niwapo na rafiki yangu na ajui kama shemeji na mkaza , japo anaonekana ni mtu wa kuniamini sana aisee.,

Wazee nifanyaje kuepuka hii laana kuendelea kunitafuna maana inanipa majuto sana ilihali najua huyu ni mke wa rafiki yangu kabisa na nataka niachane nae ila kawa king'ang'anizi hasa mpaka anatishia sasa usalama wangu?
Ulitumwa umtombe,...? Pambana na hali yako
 
Ukisikia urafiki wa kifala ndio huo Sasa mke wa Rafiki yako unampima Imani kwa kumtongoza?
 
Wewe ni snitch.

Over.
 
Endelea kum**mba mkuu kwa usalama wako manake kama kulikoroga ulishalikoroga muhimu ni usiri tu
 
Watu wa namna yako wapo sana tu huku kwenye nchi ya amani ila Sasa shida huwa inakuja mkinogewa na kuanza dharau itakayopelekea rafiki yako kujua...
Kiwango cha urafiki wenu ndio kitakuwa kiwango cha uadui wenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom