Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,259
- 6,625
Pole sana mkuu 😂 Wew fuata sheria na taratibu za police, no kupokea rushwa... Wasikilize wakuuHiii sio kazi ni presha
Kila mtu boss wako
Unakaa kwa Machale
Kazini chuki, mtaani chuki
Rushwa kila kona
Ama kweli najuta kuwa polisi
Aende machame kufuga kitimotoAchana nayo
Simple tu mkuuAende machame kufuga kitimoto
H... ngapi afande?Mbuni coy au?Hiii sio kazi ni presha
Kila mtu boss wako
Unakaa kwa Machale
Kazini chuki, mtaani chuki
Rushwa kila kona
Ama kweli najuta kuwa polisi
Hiii sio kazi ni presha
Kila mtu boss wako
Unakaa kwa Machale
Kazini chuki, mtaani chuki
Rushwa kila kona
Ama kweli najuta kuwa polisi
Kwa ushauri huo,atakufa kapuku.Akaongeze darasa.Pole sana mkuu 😂 Wew fuata sheria na taratibu za police, no kupokea rushwa... Wasikilize wakuu
Hebu nitajie jina lako kamili na namba yako ili niongee na Afande IGP kwa msaada zaidi.Hiii sio kazi ni presha
Kila mtu boss wako
Unakaa kwa Machale
Kazini chuki, mtaani chuki
Rushwa kila kona
Ama kweli najuta kuwa polisi
Polisi ni kazi nzuri, ila structure ya Polisi wetu sio rafiki ikianza mazingira yao ya kazi benefits zingine zinakatisha tamaa na kupelekea wafanya mambo ya ajabu wakati mwingine.Kila polisi hapa Tanzania atakuambia hataki kabisa mtoto wake awe policeman
Kama wanaruhusiwa kupumzika kazi anaweza kuahirisha, lakini kama amri hairuhusu hakuna namnaKwa ushauri huo,atakufa kapuku.Akaongeze darasa.