La Princesa
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 1,056
- 1,188
- Thread starter
- #41
😂😂😂dah imebidi tu nichekeManeno ya kusikia baada ya kupendana huwa so ya kutilia mkazo pole huenda mtaji alikuahidi mtaji wa shida so mtaji wa hela

Namna ipo coz nna vyeti..nafightYaani hakuna namna nyingine ya kuweza kurudi kazini? Au ukapata kazi sehemu nyingine?
Wanaume ni watu wajanja sana, hii siri nawapeni wanawake Usikubali kushawishika na mmeo/mpenzi wako kuacha kazi yaani ukikubali atakunyanyasa hatakusikiliza atakupuuza hadi akili ikukae sawa....
Hapo mwanaume tayari amesha kufanya koloni lake utapata tabu sana.... Ulipo kubali kuacha kazi ulifanya makosa makubwa sana.....
Nilishawahi kufanya hivi, inaondoa malumbano yasiyo lazima, nilikuwa nampa mshahara mke wangu wakati yuko idle.Sasa mke wangu unaenda kazini mwisho wa mwezi unalipwa laki tatu wakati mshahara wangu milioni nne na ushehe niendelee kumuacha afanye hiyo kazi nina wazimu???
Tuliza akili mama nitakua nakulipa laki tano kila mwezi kaa hapa nyumbani
Hapo ndio kwenye shida shughulikia.May be,but ni rafiki yangu ila naona kama yuko close sana na wifi yangu kuliko alivyo na mimi
Pole sana muweke wazi kuhusu hilo linalo kusibu atakuelewa tuMkataba wangu wa kazi uliisha nikatafuta kazi sehemu nyingine nikapata,mme wangu akanishawishi kuwa mshahara ni mdogo kuliko Mwanzo halafu ni mbali na yeye so bora nijiajiri huku nikiangalia fam kwa ukaribu
Toka nimeacha kazi,nakosa hata pesa ya mahitaji yangu muhimu,mtaji nilioahidiwa siuoni,nna madeni chungu nzima coz nawasomesha wadogo zangu wawili walikoko college(jamaa hajawi hata kunisupport na anajua situation ya nyumbani kwetu) inaniuma sana pale mama yangu anaponiomba hata elfu 20 nakosa ya kumpa wakati nikiwa kazini nilikuwa nampa pesa nyingi na kuhudumia fam bila shida..
Roho inaniuma coz ninashuhudia jinsi mme wangu na wanafamilia wenzie wanavyopanga budget ya matumizi ya wazazi wao (kwa whattsapp family group na amount ili wawapelekee wazazi wao wakati mimi mama yangu hana kitu kabisa..kwa kweli nimekata tamaa na sijui hata nifanye ninikuna wakati natamani hata kurudi kwetu ili nikajipange upya na kuanza upya maisha yangu ila nafsi inakataa
Note:mme wangu hajawahi kunikosea ni mambo kama hayo tu ndo yanayoniumiza,halafu anapenda niende kwao tu,hataki niende kwetu na wakati njia ya kwenda kwao ni lazima upite mkoani kwetu na mara nyingi tunakuwa na private car but kupita anakuwa mgumu sana..hivi wanawake wenzangu mliopo kwenye ndoa situations kama hizi mnazihandle vipi?NISAIDIENI NAKUFA kwa MAWAZO
PS: NSSF nao wananizungusha kweli kunipa kapesa kangu kadogo,nina imani nikikapata katanisaidia kuinuka tena
No bro,thank you i would appreciate to read your advise here on public
Kuna kitu nimekutumia PM, ingawa naona kama umeifunga PM yako.
Mkuu, nakushauri ungefunguwa PM yako ili upate msaada kwa hali hii yenye unaipitia. Na ikiwa utaona kama panatokea mtu mwenye kukuletea yasio kupendeza huko PM, basi nivyema ukam-block.

KabisaKwanini usitoe maoni yako hapa
Ili hata wasioomba msaada hapa ila wanashida kama yake wasaidike
Sasa mke wangu unaenda kazini mwisho wa mwezi unalipwa laki tatu wakati mshahara wangu milioni nne na ushehe niendelee kumuacha afanye hiyo kazi nina wazimu???
Tuliza akili mama nitakua nakulipa laki tano kila mwezi kaa hapa nyumbani
Siyo wote ni baadhi kujifanya mabazaziYaani hakuna namna nyingine ya kuweza kurudi kazini? Au ukapata kazi sehemu nyingine?
Wanaume ni watu wajanja sana, hii siri nawapeni wanawake Usikubali kushawishika na mmeo/mpenzi wako kuacha kazi yaani ukikubali atakunyanyasa hatakusikiliza atakupuuza hadi akili ikukae sawa....
Hapo mwanaume tayari amesha kufanya koloni lake utapata tabu sana.... Ulipo kubali kuacha kazi ulifanya makosa makubwa sana.....
Yaani hakuna namna nyingine ya kuweza kurudi kazini? Au ukapata kazi sehemu nyingine?
Wanaume ni watu wajanja sana, hii siri nawapeni wanawake Usikubali kushawishika na mmeo/mpenzi wako kuacha kazi yaani ukikubali atakunyanyasa hatakusikiliza atakupuuza hadi akili ikukae sawa....
Hapo mwanaume tayari amesha kufanya koloni lake utapata tabu sana.... Ulipo kubali kuacha kazi ulifanya makosa makubwa sana.....
Kuna siku nilimwambia jioni yake akanipa elfu 50 nimtumie mama
Matatizo yanakupa fursa ya kmjua yule uliyenaye jaribu kutafuta kazi naamini hutakosa ndani ya miaka hii miwili mmeo ni mbinafsi na usitegemee msaada toka kwake labda apate tatizo ambalo atakumbuka msaada wako tafuta ata kazi ya chini kabisa itafungua milango mingine mbeleni
Natumai u mzima wa afya njema, nimesoma ujumbe wako nimesikia kuumia sana moyoni,!Mkataba wangu wa kazi uliisha nikatafuta kazi sehemu nyingine nikapata,mme wangu akanishawishi kuwa mshahara ni mdogo kuliko Mwanzo halafu ni mbali na yeye so bora nijiajiri huku nikiangalia fam kwa ukaribu