Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,627
Wanataka mkuu...hahahaa wanazuga tuu vijiweni ila wanawaoa tuu
Ha ha ha! Nakuangalia tu unavyojishaua!
Hebu twende kwenye ujasiriamali kule, maana hapa unatuuzia chai tu.
Wanataka mkuu...hahahaa wanazuga tuu vijiweni ila wanawaoa tuu
we cute b unalinga kisa kitobo toboza eee!!!??
lakini ukumbuke kuwa wengi wenu siku hizi hampati waume bora kisa kuendekeza njaa zenu. Mnatumika na kuharibiwa staha zenu na mwishowe mnatupwa kapuni.
Sisi wanaume hatuzeeki lakini nyie mkijitahidi kuruka ruka kwingiii kikomo chenu ni umri tuu baadae ukichakaa huna soko tena!!
Ha ha ha! Nakuangalia tu unavyojishaua!
Hebu twende kwenye ujasiriamali kule, maana hapa unatuuzia chai tu.
Mkuu ata asiponioa mimi fresh tuu ila nikikuchuna lazma utamani kunioa tuu maana nitakuwa nimekurudisha nyuma kimaendeleo sana maana nitakukamua haswa....
Mkuu kama vile nakuona unavyofyonza
Pia ujue kuna wanaume wengi tu hapa mjini wanajengewa majumba na ku - drive ndinga kali kali wanazopewa na wanawake wenzio!Mkuu pesa zenu tamu jamani lol. Bado kidogo nakamilisha ujenz wa nyumba yangu.
Hongeni tuu maana hamna namna
Sikatai cute b,tunawahonga ila sijui kwa wenzangu. Mimi wanawake wengi nimewapata bila kuhonga, na wale niliowahonga mara ya kwanza, baada ya kuwapitia kibao kiliwageukia wao kunihonga mimi, sometimes mpaka huruma jamani, mtu anakupandia basi toka bukoba, arusha? Na akifika anajigharamia mwenyewe Lodge na msosi hata wiki nzima!
Pia ujue kuna wanaume wengi tu hapa mjini wanajengewa majumba na ku - drive ndinga kali kali wanazopewa na wanawake wenzio!
Hongera kwa kuwa na kisu kikali cha kuchunia. Ila ukublai kwamba hautakuwa peke yako.
Fresh tuu mkuu tuwe wengi tusaidiane majukumu. Cha muhimu mautamu napewa natembea na gari langu nakulq ninachotaka navaa ninavyotaka sasa shida nini tena
Hahahaaa mkuu maboya ndo wanaochakaaa. Mimi haitakaa itokee nakwambia.
Nachuna kama sina akili nzuri yaan adi mwanaume anaishiwa anarudi kunikopa hela ya kula lol mnatia huruma jaman
Basi utakuwa roboti au vipodozi vyako vya kichina vinakufariji kwamba huchakai eee??? endelea kuruka ruka ukifikia 30s ndo utarealize scrapt value!!!
Wanawake wajanja siku hizi wanastick na mmoja tu ambae ana vision za kimaisha. Anatulizana tuliii japo mechi za nje km kawida ila benchmark ipo.
Tulizana kabla hujachakaa wewe!!
Jivunie tu 'anake kujegenjwa kila siku sio kitu kirahisi.
Raha tupu