Rais wa Malawi aliiwakilisha Africa kwa kuhutubia. Ikumbukwe kuwa AU pia iliwakilishwa kwa mama Zuma kuhutubia.
Rais wa NAMIBIA alihutubia baada ya Rais wa Brazil.Wandugu, mbona sikumuona Rais wa kiafrika aliyehutubia jana kwa Madiba isipokua rais mwenyeji? Je, kuna sababu gani? Au ni ukoloni Maomboleo? Au uwezo mdogo?
Wandugu, mbona sikumuona Rais wa kiafrika aliyehutubia jana kwa Madiba isipokua rais mwenyeji? Je, kuna sababu gani? Au ni ukoloni Maomboleo? Au uwezo mdogo?