Najiuliza, kwanini marais wa Afrika hawakupewa nafasi ya kuhutubia kwenye kuaga mwili wa MANDELA?

Makaura

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
892
293
Wandugu, mbona sikumuona Rais wa kiafrika aliyehutubia jana kwa Madiba isipokua rais mwenyeji? Je, kuna sababu gani? Au ni ukoloni Maomboleo? Au uwezo mdogo?
 
Marais wetu waligubikwa na simanzi sana. Hawakuwa kwenye mood ya kuhutubia.
 
Wote mnategemea misaada kutoka kwao, sasa watu wa protocal waliogopa wanaweza kujisahau na kuelezea shida zao.
 
Waliozungumza waliwakilisha mabara happy Brazil na Cuba wanatoka bara moja. Afrika iliwakilishwa na rais wa namibia. Vikevile AU iliwakilishwa na mama zuma. Ikumbukwe kuwa rais zuma nae aliiwakilisha afrika kusini na afrika kwa ujumla
 
Kama ni hvo sawa, ila sikusikia ratiba yeyote iliokuwa na uakilishi wa namna hiyo
Rais wa Malawi aliiwakilisha Africa kwa kuhutubia. Ikumbukwe kuwa AU pia iliwakilishwa kwa mama Zuma kuhutubia.
 
ni afadhali marais wengine wa afrika hawakupata nafasi maana wangeanza kusema kuwa mandela alikuwa mtu wa kusamehe basi obama naye anatakiwa awasamehe magaidi
 
Wandugu, mbona sikumuona Rais wa kiafrika aliyehutubia jana kwa Madiba isipokua rais mwenyeji? Je, kuna sababu gani? Au ni ukoloni Maomboleo? Au uwezo mdogo?
Rais wa NAMIBIA alihutubia baada ya Rais wa Brazil.
 
Wandugu, mbona sikumuona Rais wa kiafrika aliyehutubia jana kwa Madiba isipokua rais mwenyeji? Je, kuna sababu gani? Au ni ukoloni Maomboleo? Au uwezo mdogo?

Badala ya hotuba ya kuomboleza wangeanza kunadi fulsa za uwekezaji kwa Mataifa yaliyokuwapo pale. Wengine wangesema sasa tuna gesi nyingi wengine mafuta nayo baharini na mwisho wangeomba pesa kwa Obama
. Watu wa protocal waliiona hiyo wakawapiga burn
 
Nilisoma jana humu eti JK angeongoza marais wengine kwenye kuaga/mazishi ya Madiba? Vp wadau, ilikuaje tena maaana hata kamera za uwanjani hazikumnasa kabisa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom