Najitolea kuwa wakili wa Lulu

Tatizo letu ss wabongo tunaamini kuwa kila kifo ni lazima kiwe na sababu.Lakini sio lazima.Lulu hana hatia mpka itakapothibitishwa vinginevyo,there 4 Lulu anayo haki ya kuwakilishwa kama watu wengine.More over kama taariafa zinavyoeleza kuwa LULU ana miaka 17 na alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na marehemu Kanumba basi tafsiri yake kisheria chini ya kifungu 5 cha sheria ya makosa ya kujaamiana ya mwaka 1998 ni kuwa, KANUMBA alikuwa akimbaka LULU kwa kipindi chote toka alipoanza kuwa nae na uhusiano wa kimapenzi kwani sheria hiyo inatamka wazi kuwa mtu atakuwa amebaka endapo atakuwa amefanya mapenzi na mwanamke mwenye umri chin ya miaka 18 hata kama mwanamke huyo atakuwa ameridhia.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom