Kikwete amteua wakili wa Lulu kuwa Jaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete amteua wakili wa Lulu kuwa Jaji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, Jun 20, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG] [​IMG]

  Rais amteua wakili wa Lulu kuwa Jaji

  RAIS Jakaya Kikwete amemwapisha kuwa Jaji wakili wa kujitegemea, Joaquine De-Mello ambaye alikuwa akimtetea msanii wa filamu Elizabeth Michael (Lulu) anayetuhumiwa kwa mauaji ya msanii mwenzake, Steven Kanumba.

  Wakili huyo, ambaye ni mshindi wa tuzo ya Mwanamke Jasiri Tanzania ya Martin Luther King ya mwaka 2012 na ambaye alikuwa pia alikuwa mmoja wa makamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG) ni miongoni mwa majaji 10 walioapishwa jana na Rais Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  De-Mello ni miongoni mwa mawakili wanne waliojitokeza Aprili mwaka huu kumtetea Lulu katika kesi hiyo ya mauaji inayomtuhumu kumuua usiku wa kuamkia Aprili 7, mwaka huu.

  Mawakili wengine wanaomtetea Lulu ambaye umri wake umekuwa na utata ni Kennedy Fungamtama, Peter Kibatala na Fulgence Massawe.

  Akizungumza kwenye viwanja vya Ikulu, De-Mello alisema baada ya kuteuliwa kuwa Jaji, sasa atafanya kazi hiyo na moja ya mikakati yake ni kukabiliana na changamoto za wingi wa kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania.
   
 2. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Mzimu wa kifo cha Kanumba unaendelea kuzunguka na Rais Kikwete amejitahidi kuituliza familia ya Kanumba kwa kutoa ubani wa Tsh 10,000,000 hivi karibuni ilivyoripotiwa na vyombo vya habari.

  Leo tena Mheshimiwa Rais amempandisha cheo jaji anayemtetea Lulu mwenye kesi ya mauaji mahakama kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha Stephen Kanumba. Kazi kwelikweli.
   
 3. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Lele lile lele lele ehee x2 bora niimbe maaana ndio nchi inavyokweta na katiba inamruhusu,tutafanya nini?kanyaga twende mpaka wadanganyika watie akili!kudadadekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Sikujua kilichokuwa moyoni mwa Mnyika kumbe kuna mengi ambayo yamemsukuma kutoa kauli ile bungeni. Makubwa bado yaja.
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  "Raisi amempandisha cheo jaji anayemtetea Lulu"?

  Toka lini majaji wakatetea watuhumiwa?
   
 6. C

  Che-lee JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo kesi ya lulu atajitoa au ataendelea nayo?
   
 7. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  What ever namanisha amemteua wakili kuwa jaji wa mahakama, labda kutokana na handling ya kesi ya Lulu imempandisha Chat.
   
 8. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Duh,mpaka 2015 ifike wengi watapandishwa vyeo!
   
 9. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Hatakuwa mtetezi wa Lulu tena, bali atakuwa jaji atakayepangiwa kutoa hukumu kesi ya Lulu. Nimesomeka na umelisoma tukio lenyewe?
   
 10. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Huyu mtoto kagonganisha na kuchanganya vichwa vya watu, hata akina Komba wamo sasa nani atabaki kuhusishwa katika sokomoko hili?
   
 11. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Hongera lulu
   
 12. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #12
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  hongera kwa kumpa mlo mtetezi wake au kwa kuongoza jopo la majaji watendea haki sheria za Tanzania?
   
 13. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #13
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Dogo lulu ndio basi tena ameshaokoka tayari,kesi yake itaenda powa kabisaaa

  Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   
 14. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #14
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Wakuu wanamkingia kifua kwa manufaa ya wanawe mlalahoi ameokoka.
   
 15. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #15
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Kabisa mkuu,unadhani kama huyo mama ndio akiwa jaji na vile vile before alikuwa anamtetea unadhani kutakuwa na nini hapo??kuna mengi yamejificha hapo na utaona tu hii kesi ya huyu dogo itakavyoisha kiulani kabisaaaaa

  Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   
 16. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,127
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Siamini kwamba kesi ya Lulu ndio imempa ujaji. Hivi Mheshimiwa Raisi anatumia vigezo gani kuwateua mawakili kuwa Majaji?
   
 17. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #17
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  mtu mzima na litumbo lake kama ana mimba ya watoto 20 alikuwa anakapumulia. Aaargh! Silly person
   
 18. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #18
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  principles of justice haziruhusu apangiwe kesi hiyo
   
 19. Mponella

  Mponella Member

  #19
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shughuli ndiyo imeanza yetu macho#
   
 20. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #20
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Hivi hakuna limit ambayo ya majaji wa kuteua kwa Rais? sababu hata jana kuna kiongozi nadhani naibu waziri wa sheria kama sikosei kasema Kikwete ndio Rais anayeongeza kwa kuchagua majaji wengi mpaka sasa toka nchi yetu ipate uhuru.

  Au ndio anajiwekea shield mapema?
   
Loading...