Najitolea kuwa wakili wa Lulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Najitolea kuwa wakili wa Lulu

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by fabinyo, Apr 10, 2012.

 1. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  toka kanumba amefariki sioni mtu yeyeto anayemsema vizuri binti huyu,lawama zote zipo juu yake kwa vile tu alikuwa wa mwisho kuwa nae!kwangu ni kama kuangukiwa na jumba bovu,anajitolea kumpa msaada wa kisheria bure kunusuru maisha ya mtoto huyo japo nako ni mapepe,kaliambiwa katulie kasome wapi!!anyone with the same idea?umoja ni nguvu
   
 2. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,678
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  kwi kwi kwii, sasa mwenyewe ushaanza kukaponda na kuprove kwamba kweli kameangukiwa na hilo jumba bovu, tukusaidieje?
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa unatangaza hapa ili iweje? Nenda lupango ukamjulishe.
   
 4. d

  denilson Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nenda mama kesi hiyo inatolewa macho na wote si umejionea umati wa watu msibani.
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kwa kesi hii wengi watajidai mawakili
   
 6. p

  pilu JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sijaona ubaya wakutangaza hapa, nadhani ni vema tumpe ushauri kwa hiyo nia yake.
  Nadhani hapa jf ni mahali stahili kabisa.
   
 7. p

  pilu JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sina hakika sana na hili.
   
 8. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Binti sio mchoyo wa fadhila ati.
   
 9. p

  pilu JF-Expert Member

  #9
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nakusifu kwa moyo huo ndugu.
   
 10. KISHOKA_ZUMBU

  KISHOKA_ZUMBU Senior Member

  #10
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Kama unajua sheria na ni mpenda haki nenda kamuwakilishe Lulu. Lakini naona hakuna kesi ya kujibu pale faili likipelekwa kwa DPP litarud hakuna kesi ya kujibu pale. Si ilikuwa self defence ile? or either accident?
   
 11. U

  Upatu Member

  #11
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi unayo ndugu yangu
   
 12. KISHOKA_ZUMBU

  KISHOKA_ZUMBU Senior Member

  #12
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Maana inasemekana ni issue za wivu wa kimapenzi!!!
   
 13. dottoz

  dottoz JF-Expert Member

  #13
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 805
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 80
  Nenda kamtetee maana akshatoka atakutafuta umuoe kabisa ili nawe ufaidi **** yake tamu sana.
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,261
  Trophy Points: 280
  Ubaya wewe uwezi kuuona maana una macho lakini huoni,kwa kifupi JF siyo sehemu ya kumuimbia pambio shetani.
   
 15. p

  pilu JF-Expert Member

  #15
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo mawakili kupitia hiyo fani yao ni waimba pambio za shetani?.pia nikufahamishe tu kua ni vema ujipange kabla hujachangia mdau,ok!
   
 16. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #16
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  asante kwa utetezi wako,yaani lizzy anaroho mbaya
   
 17. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #17
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  wewe nawe wivu utakuua
   
 18. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #18
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  kweli,ndio kazi yangu
   
 19. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #19
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  eehh,mbona kama huataki?punguza jazba lizzy
   
 20. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #20
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,261
  Trophy Points: 280
  Wewe hapa umejipanga kitu gani?.....unataka kumsaidia Lulu fine is up to you, nenda pale Police ukamueleze nia yako ya kumsaidia unapokuja kuuliza hapa jamvini ili iweje? au mnafurahia porojo zitawale muda wote hapa?
   
Loading...