NAJITOLEA kumfanyia rais WANGU KIKWETE kampeni ashinde tena URAIS


Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Messages
7,695
Likes
177
Points
160

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2008
7,695 177 160
watu ni wavivu wakujitafutia maendeleo wanadhani rais akisema maisha bora kwa kila mtanzania basi atawagawia ugali wa bure kila siku,maisha bora ni pamoja na sisi wenyewe kumuunga na kumtia moyo rais wetu kwa kujituma kutafuta maendeleo yetu binafsi.
n
Kwani hayo maisha bora mnayosema tujitafutie si tulikuwa tunajitafutia siku zote hata kabla Kikwete hajatapeli wadanganyika?
Wewe cheusi ebu tuambie mbona unayosema leo hamkuyasema 2005 au mwadhani yote tumeyasahau?
Mlitakiwa mtuambie kuwa maisha bora si kwa kila mtanzania bali kwa mtanzania kujitafutia mwenyewe. Na elewa ikisha fikia mahali hapo pa kila mtanzania kujitafutia maendeleo mfute hiyo kauli kwamba kila mtanzania atapata maisha bora. Asante kwa utapeli wenu. Wajinga ndio waliwao. Ole wao waliompatia Kikwete kura zao.
KIGUMU CHAMA CHA MAFISADI
 
Joined
Nov 21, 2009
Messages
2,974
Likes
24
Points
0

Regia Mtema

R I P
Joined Nov 21, 2009
2,974 24 0
Kwani hayo maisha bora mnayosema tujitafutie si tulikuwa tunajitafutia siku zote hata kabla Kikwete hajatapeli wadanganyika?
Wewe cheusi ebu tuambie mbona unayosema leo hamkuyasema 2005 au mwadhani yote tumeyasahau?
Mlitakiwa mtuambie kuwa maisha bora si kwa kila mtanzania bali kwa mtanzania kujitafutia mwenyewe. Na elewa ikisha fikia mahali hapo pa kila mtanzania kujitafutia maendeleo mfute hiyo kauli kwamba kila mtanzania atapata maisha bora. Asante kwa utapeli wenu. Wajinga ndio waliwao. Ole wao waliompatia Kikwete kura zao.
KIGUMU CHAMA CHA MAFISADI
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.Nadhani Cheusi anatafuta uDC kama sio ajira Ikulu ha ha ha.Natania tu.
 

muafaka

Senior Member
Joined
Oct 30, 2009
Messages
101
Likes
0
Points
33

muafaka

Senior Member
Joined Oct 30, 2009
101 0 33
Nadhani kama wengi wasemavyo, ni kama umefurahishwa na tabasamu lake na sura labda lakini kwa utendaji, bora jeshi lipindue litutawale tu!
Mwanzo nilidhani una mawazo ya maana lakini baada ya mchango huu naona kama kuna upungufu hata wa 'common sense'. Toa mfano angalau mmoja wa nchi iliyotawaliwa kijeshi na kukawa na la maana zaidi ya matatizo zaidi. 'let us make constructive contribution' kidogo kidogo wataanza kutuelewa. hakuna mtu ambaye hutaki kusikia 'indefinetly'.
 

father-xmas

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2010
Messages
530
Likes
15
Points
0

father-xmas

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2010
530 15 0
mama hapa hatutaelewana aiseeee............!
daaah umepewa kiasi gani kumfagilia mshikaji kaharibu namna hii...............???
kikwete hafaiiiiiiiiiiiii.....................!narudia hafaiiiiiiiiiiiiiiiii!
kafanya kipi cha maana ulichokiona hebu tueleze na sisi labda sisi vipofu..................!
achana na mafisadi hawa.................. i cant belive this.....................!
acheni nikalie kwanza cheusi kanisaliti............................!!!!
 

Mwana wa Mungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2008
Messages
1,007
Likes
23
Points
135

Mwana wa Mungu

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2008
1,007 23 135
mimi kikwete sio rais wangu, kwanza hata kura sikumpa na sitakuja nimpe kura yangu. machungu waliyompa salim ahmed salim kuambiwa si raia wa tz wakati alishawahi kuwa mwakilishi wa tz maeneo mengi tu vile, na mambo yake meeengi ya kuwaacha mafisadi kutembea barabarani kwa raha zao, yananifanya hata hotuba zake nisisikilize. waifu akianza kusikiliza hotuba zake, huwa naondoka nawaachia tv yao hapohapo, nitarudi badayeeee, naenda zangu ndani bora nikasikilize hata kwaya tu. kwasababu nimechoka kudanganywa, nina akili mimi bwana. sidanganyiki ng'o.
 

Ngisibara

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2009
Messages
2,173
Likes
491
Points
180

Ngisibara

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2009
2,173 491 180
mimi kikwete sio rais wangu, kwanza hata kura sikumpa na sitakuja nimpe kura yangu. machungu waliyompa salim ahmed salim kuambiwa si raia wa tz wakati alishawahi kuwa mwakilishi wa tz maeneo mengi tu vile, na mambo yake meeengi ya kuwaacha mafisadi kutembea barabarani kwa raha zao, yananifanya hata hotuba zake nisisikilize. waifu akianza kusikiliza hotuba zake, huwa naondoka nawaachia tv yao hapohapo, nitarudi badayeeee, naenda zangu ndani bora nikasikilize hata kwaya tu. kwasababu nimechoka kudanganywa, nina akili mimi bwana. sidanganyiki ng'o.
JK aliukwaa uprezidaa kwa kupenda kuwa prezidaa kama vile mtu unavyofikiria kuwa endapo nitanunua gari Porsche basi nitakuwa na furaha moyoni mwangu siku zote na kweli ikawa, akakusanya nguvu zote alizokuwa nazo, akatafuta marafiki wamsaidie kuongeza mtaji ili apate Porsche tena Sports ambayo imemkaa moyoni na kweli mwisho akaipata, baada ya hapo wapambe wakawa wanataka nao watembeee naye kwenye hiyo Porsche naye akakubali na ndivyo ilivyo angalia misafara yake, bado wengine wakataka waichukue wakafanyie matanuzi yao na akawa hana kinyongo akawapa na hii angalia Mawaziri wanavyojifanyia mambo yao as if yeye hayupo, na bado Porsche hiyo ikiharibika anaitengeneza kwa gharama yoyote kwani anaipenda mno kuliko kitu chochote na hapo angalia anavyowalea mafisadi waziwazi bila soni ambayo hata sungusungu angesema hawa wachapwe viboko kama wale walimu wa Meatu, basi alimradi Porsche ipo barabarani ni bora hata kama watoto watalala njaa bora iwe hivyohivyo, angalia watanzania vijijini walivyopigika na wala usiende mbali na kwao, fanya kupoteza fedha kidogo kwa siku moja tu nenda pale kwake Msoga (Chalinze mzee) shuka na jifanye unatafuta kiwanja uone hizo familia zilivyo hoi bin taaabani lakini yeye hilo bado halimsumbui kwani cha muhimu kwake ni Porsche litembee, Kweli JK si mtu punguwani, si mwendawazimu kama Nduli Amin, amesoma, ametoka katika familia za kimaskini kama wengi wetu tulivyo na ukweli huo anaujua fika bila shaka yoyote lakini tatizo ni kwamba yeye anachoridhika nacho ni Porschee litembee tu na litakapokufa basi na life lakini ameandika historia kuwa niliwahi kuwa na Porscheee Tz
 

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,836
Likes
23,022
Points
280

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,836 23,022 280
nimewahi kusema huko nyuma na leo narudia.........
huyu Kikwete hata afanye utumbo gani.wanawake huwaambiii kitu kwa Kikwete....
jamaa utasema ana dawa.
 

Diana-DaboDiff

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2009
Messages
380
Likes
2
Points
0

Diana-DaboDiff

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2009
380 2 0
Abdulhalim;[URL="javascript:void(0)" said:
889832[/URL]]u guyz r jokers of highest caliber..lol

sasa kaa rais haleti maendeleo kwa watu wake kuna faida gani ya kuwa zigo la rais na maswahiba wake..si bora nchi iuzwe kila mtu ajue lwake?
Hata nchi ikiuzwa hutapata kitu wajanja wengi aargh!!
javascript:void(0)span.jajahWrapper { font-size:1em; color:#B11196; text-decoration:underline; } a.jajahLink { color:#000000; text-decoration:none; } span.jajahInLink:hover { background-color:#B11196; }
 

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
5,566
Likes
29
Points
135

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
5,566 29 135
Ni haki ya kila mwananchi kumtaka na kumpigia debe mtu yoyote anaye taka....it is a personal choice. Kama mtu ana haki zote za kikatiba kugombea basi pia ana haki zote za kuwa na wafuasi wake wa kisiasa.
 

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2007
Messages
1,529
Likes
92
Points
145

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2007
1,529 92 145
Ni vyema umesema kumfanyia kampeni rais WAKO!
Hata kama utasema avatar hailingani na mama Salma, fine ni kweli ila avatar yako inakuonyesha wewe ulivyo. Na JK anataka watu wa aina yako!
 

Ujengelele

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2008
Messages
1,256
Likes
2
Points
0

Ujengelele

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2008
1,256 2 0
wtf going on here!
Kuna mijitu imepandikizwa hapa kumpigia debe huyu jamaa ambaye nchi imemshinda. Sijui kafanya lipi hadi mtu ukapoteze muda wako kwenda kumpigia debe. Naona ndiyo maana jamaa kaaga hatakuwepo maana atakuwa anasafiri nchi nzima kufanya kampenni za msanii. Tutaona na kusikia mengi sana kuelekea October 31, 2010. Eti kidumu cha mapinduzi!!!! pamoja na ufisadi wote wanaofanya dhidi ya nchi yetu!!!! Wacha tubaki nyuma kimaendeleo.
 

Forum statistics

Threads 1,204,735
Members 457,411
Posts 28,168,117