MzeeMpya
JF-Expert Member
- Dec 19, 2019
- 516
- 655
Ni kweli ni maneno ya kuchukiziwa. Lakini hata ww umechukizwa kwa kukosa hoja ya majivuno ya uzalendo.. Sisi kama taifa la watu wa tanzania tumebarikiwa mengi na mungu ... " Uhuru wetu- Muungano wetu - Uvumilivu wetu. Ndani ya bara la Afrika Wa Tanzania wapo vizuri kwa kupewa kipaji kikubwa na mungu.Habari zenu,
Mimi kama Mtanzania mwenye upendo juu ya nchi yangu huwa najiskia vibaya tukisemwa vibaya haswa na Wakenya au raia wa nchi zingine. Najua tuna changamoto zetu kama poor customer services, umeme, uchumi wetu mdogo, na ndo fimbo wanayotumia kutudharau.
Jana jioni wakati tunapata dinner, nilikua na mkenya mdada, na watu wengine kutokea Sudan kusini na Rwanda. Jamani huyo mkenya akaanza kutukandia watanzania ooohh our cities are dirty, watanzania sijui hawajielewi, mara akienda saloon wadada wana gossip( na girls gossip everywhere) Akahamia kwa wadada wa Tanzania sijui tuna fake love. Tunajifanya kupenda mtu kwa kujifanya( actually hii ni hulka ya mtu na wanawake wengi wako hivi ambao pia si Tanzanians. )
Wakatukandia weee, baadae uzalendo ukanishinda nikawambia atleast sisi wakarimu compared to nyie Kenyans. Acha anze kusema bora wao na kwamba ukarimu wetu ni wa kufake. ( Jamani kweli Watanzania tunafake ukarimu toka lini?)
Baadae, ilibidi niseme no more negative stories about my country. Kama vipi siyo lazima kuishi hapa na kuna nchi kibao duniani za kuishi.
Kiukweli, nahisi kuwachukia moyoni.
" Tunajivunia na kipaji chetu cha UVUMILIVU". Tunavumiliana kisiasa - Tunavumiliana na utafauti wetu wa dini zetu - Na Tunavumiliana na uingiliaji wa makabila yetu...
Nadhani wenzetu majirani hawana huu uvumilivu... Tujikubali na tujivunie kwa hili... Na huu ndio Ubinadamu