Najilipuaaaaaaaaaaa!!!

Najilipuaaaaaaaaaaa!!!

Kuna ndoto nimemwota Madame B leo usiku,nimevumilia sana nimeona nafsi inanihukumu,bora niitaje!!!
Pumzika kwa amani Madame B na Mungu akupe kila aina ya baraka zake!
Nakutakia kila lililo la heri!

:majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:

:target::target::target::target::target::target::target:
 
mke mwenza umewapa nini hawa dogo ndoto haziishi hapa mume wetu atakufa kwa pressure Arushaone weya ayu
 
Last edited by a moderator:
Heeeeee mimi simo bahati ni kama upepo nakutakia kila la heri ila isiwe ni mtego wa white party! Madame B kaaa chonjo.....ila mimi ninwasubili vijidudu mtu mkosee njia muone ninavyo mtoa mtu figo!!mnakoenda naona mnasogeasogea ole wenu!
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha mkuu weka petroli na wewe karibu angalau ulipuke tukusikie.....

au mi naenda kujilipua kwenye whtypty liwalo na liwe sadaka

Hahaha au kama vipi unameza pipe ya gesi ya Mtwara halafu unaweka utambi masikioni...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom