Najilipuaaaaaaaaaaa!!!

Najilipuaaaaaaaaaaa!!!

Woga tupa kulee

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2012
Posts
1,749
Reaction score
1,312
Kuna ndoto nimemwota Madame B leo usiku,nimevumilia sana nimeona nafsi inanihukumu,bora niitaje!!!
Pumzika kwa amani Madame B na Mungu akupe kila aina ya baraka zake!
Nakutakia kila lililo la heri!
 
Last edited by a moderator:
Mbon siono kitu ulichojolipua??? Madame B naona vijana wanataka kujilipua ovyo ovyo kunani hapa???
 
Last edited by a moderator:
Shosti wangu wa ukwenhe Madame B,njoo huku,mfungwa aliye toka selo anakuita!!
 
Last edited by a moderator:
Madame B nakutuhumu unatumia miti shamba ya kuvuta walengwa. Haiwezekani kila "mE" Anakumezea mate (isipo kuwa mimi) baada ya ndoa yangu shauri hili nitalibwaga mezani kwa m.kiti Baba V
 
Last edited by a moderator:
Madame B naona kama unahitaji kupumua hivi.....!!!! Kama vipi omba tu :ban: ya kirafiki ukapumzike kidogo.... Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
...kwa mwendo huu wengine tutakua twaonekana kwa nadra!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom