Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,207
- 62,266
Lifanyie kazi mkuu,lasivyo utazeekea home kama wanajamii wengine wa huku jf n.kHili nalo neno nitalifanyia kazi,asante
Lifanyie kazi mkuu,lasivyo utazeekea home kama wanajamii wengine wa huku jf n.kHili nalo neno nitalifanyia kazi,asante
Kwanini aniombe?mbona mie sijawah waomba?huoni tatizo hapo?haimaanoshi huwa sikwami,ila nikikwama natafuta naopga nao dili wananikopesha halafu nalipa
Yote heri na majaliwamimi naongelea kuzaa hayo ya kuzalishwa ni yako.
Remember 30 is around the corner soon utaanza kuitwa mhenga.
Kwahiyo changamoto wanazo wao tu?Kwanza hakuna niliposema akuombe. Pia unaonekana una shida binafsi hiyo. Hata siku moja si me wala ke atachukia akiombwa hela na mpenzi wake.
Hawa tunaowasema kwa kuomba ni wale tunawaona dhahiri hawana upendo , wapo tu kuwanyonya wenzao. Hata ulipoeleza nilikuelewa hivi. Sasa nakuona unasisitiza kwanini uombwe hela? Unaombwa kama binadamu na mpenzi.Ni suala la kawaida kusaidiana.Changamoto ni pale mtu anakuibia tu, hana upendo.
Kingine unachoshangaza ni pale mwanzo umejiita una huruma,ndiyo maana unawapa. Cha ajabu wew mwenyewe unakiri suala hilo hupendi na sasa unahoji kwanin uombwe hela. Huruma gani hiyo? Upo sawa kweli wewe?
Njo tuoane naona tunafanana.Me pia nina kazi yangu ya kawaida tu.Ila huwa sina tabia ya kuuliza kipato cha KE hata siku 1.Na niliwahi kuwa na KE kwao chapaa balaa but Yule dada hakuamini vile me sitaki wala siombi chochote.Waona nawe umenihisi vilevile,mie nimekulia msoto sana
Nimesoma science toka o level
Nilifunzwa kupambana na kujitafutia
Kama Mungu angetaka niwe kama hao maslay queen asingechukua wazaz wangu nikiwa kid
I am who I am because God wanted me to be this way
Nimefungua id mpya ili nipate msaada,kwani hili suala limekuwa limkijirudiaMember since june 17
mimi ni mwanamke wa miaka 27,sijaolewa,Sina mtoto,Sina mpenzi,nimepanga naishi na mdogo want mmoja yuko kidato Cha nne Sasa.
Tatizo langu ni moja tangu nianze kujihusisha na mapenzi napata wanaume ama wapenzi wanaoniomba hela na kutaka mie ndiyo niwahudumie.nina kazi ndio ya kawaida tu ila sijui kumwomba mwanaume hela.
Ni mtoto wa pekee,nilolelewa na wajomba baada ya wazazi kuondoka duniani.nilipitia kipindi kigumu sana wakati nakua na kwenye elimu yangu,hiyo ikanojengea kujiamini na kujitafutia vyangu.sijui kujigamba,sichezei pesa kwa mambo yasiyo ya msingi ila nina roho ya huruma sana.naweza kuwa na milioni hata 5 kwenye akaunti na bado nikapanda daladala ama kula kwa mama ntilie mtaani au kazini.
Mpenzi wa Kwanza alikuwa ananipiga mizinga Sana baada ya kuja kwangu na kuona navyoishi,hatukudumu tukaachana sababu hiyo,kwani hakuwahi nipa hata senti yake ila yeye amenilia hela zangu nyingi.
Wa pili ilikuwa hivyohivyo Kila leo alikuwa anapanga mbinu za kunitoa hela,nikaona isiwe shida nikaachana naye.wa tatu alikuwa ananisema niache kuwapa watu hela ila akishika simu yangu anajifowafia hela toka line yangu ya mpesa,halafu ananikashifu kuwa najidai kuwa na hela wakati sijawahi mweleza hayo,ila alikuwa anachunguza akaunti zangu za mp pesa na benki akanifosi nikampa Hadi pasiwed akawa akihitaj hela anatoa bila kunitaarifu.nikaona isiwe tabu nikaachana naye.
Sahivi yapata mwaka niko singo na nimeamua kutokudate tena manake napata magarasa tu.naombeni ushauri nakosea wapi?kiukweli siwezi kuomba hela na nikiomba kama nina uhotaj nisipopewa basi najikalia kimya tu.
Kwanini wanaume waniombe hela?kasoro yangu ni Nini?na katika wote hao hakuna niliyemtongoza walinotongoza wenyewe.mie sipendi kuomba wala kuombwa hela.naumia sana Kama mwanamke.naona wananitongoza kwa lengo la kunichuna,lakin mbona mie navaa kawaida,nala kawaida,siyo mtu wa starehe,tatizo ni nini?
Huu mtego kuna mtu anatafutwa kuna maboya yatanasa huko pm.stuka kimbia!
Nimefungua id mpya ili nipate msaada,kwani hili suala limekuwa limkijirudia
Utazaa kama ulivyozaliwa, au unataka kutumia incubator?Yote heri na majaliwa
Sasa nitazaa nikiwa single ama?
Ongea tu hapa barazanNaweza kuja pm?
Nb: siji kwa ajili ya kukutongoza.
Nahotaj me kupata mbegu xy lakinUtazaa kama ulivyozaliwa, au unataka kutumia incubator?
kwani lazma awe Dar [emoji2]usinichoshe mimi.. mbona usiseme upo kyela au mboziUnaishi wapi kinondoni, temeke au ilala?
Anawatisha tuNani akamatwe humu, humu ni vibaka kwa vibaka tu, unauza cheni bandia , unapewa cheni bandia.
Mtu akiwekwa kati huyo atakuwa kabahatika, kapata shule ya dunia ukiacha ile ya wazazi.
au wana jf wote wanaishi dar[emoji1]Unaishi wapi kinondoni, temeke au ilala?
Kwahiyo changamoto wanazo wao tu?
Mie sina?
Anawatisha tu