Najiandaa kupigwa mzinga kipumbavu kabisa...

Najiandaa kupigwa mzinga kipumbavu kabisa...

"Where do we meet.... When and How? Kama kaongea mpk kwa lugha ya kigeni, fanya umlipe jamaa!
Hahaa..ni mimi ndo nimemuuliza hayo maswali..
 
Bora ww maana mm hapa
Nlipo naomba tu date 25 isifke

Itokee tu miuujiza mara paaap February hii hapa ntashangilia sana
 
Bado hajakutungua? [emoji23][emoji23][emoji23] Tupe mrejesho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom