Najiandaa kupigwa mzinga kipumbavu kabisa...

Najiandaa kupigwa mzinga kipumbavu kabisa...

Wanaume tumeisha. Haya mambo ya kibinafsi kuna siku ya mkeo utayaleta humu
Wewe kutongoza uweze, ahad utoe, kumvua ch..p uweze unashindw vipi kumpanga hata hilo tu
 
SINGLE MAZAs NA WANAWAKE WALIOPANGA PEKE YAO NI WA KUWAEPUKA KAMA UKOMA.UKIKAA VIBAYA UTALIPA HADI KODI YA NYUMBA
Sasa wewe unataka umgaragaze kwenye Kibanda na Kitanda yake kisha akupe na Pesa juu ?

Unazo-Korodani kweli wewe?
Nina mashaka.
 
Wakuu ngoja ni screenshot a little part of our conversation....

Mnaweza mkajitolea kunikopesha.....View attachment 675115
Nisaidieni nijibuje hapo...msg yake ya mwisho hiyo..
Tuondolee Wehu,
Kwa meseji hizo uhusino uliopo kati yenu ni mnunuzi na muuzaji.

Kuwa muungwana lipa deni lililopita kisha ongea habari ya biashara nyingine.

Vinginevyo mwambie una njaa Ila leo tena umefulia akikupa poa lakini asipokupa usinune.
 
aliyekwambia mwanamke hutingozwa bila pesa nani ..hao Pesa ndo mpngo kwao
huna basi kajiunge chaputa tyu mkuu
 
mwanaume kuhonga ni kitendo cha kishujaa kwa mwanamke...
maana unaacha kujikidhi wewe kwa ajili yake...
 
ngoja waje wadada wachunaji watakwamibia kuhonga ndo uanaume.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom