SAVAGE AF
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 826
- 1,707
Wakati anapewa number hakuwa na shida ya mawazo yako sasa ulitaka akwambie ili iweje?Mnafik huwa anajulikana tu tena kweupeeee!!!!
Mlipo peana namba hukutushirikisha
Sasa umekosa unachotaka kwake
Unakuja na gea ati unataka kupigwa bomu,,japo unadai ati umemla lkn hilo hatuliamini
Kwasababu mlaji huwa hasemi...
Ila sasa ndo anashida ndo maana kalileta jamvini. Kama huna cha kumchangia heri ukae kimya kuliko kumuita mtu mnafiki na kujifanya mjuaji.

kumbe anakudai??