Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,920
- 7,943
Ahsante mkuu. Hapana bado sijapata taratibu za mazishi nategemea taarifa kutoka kwa yule jamaa yake wa humu JF.Pole sana Dr... Natambua kipindi unachopitia je kuna updates zozote za mazishi?