Najaribu kukizoea kifo nashindwa kabisa!

Aliyekufa nan Tena wa JF?
ip_mob
giphy.gif
 
1 The 4:13-18

Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini. Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai, tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti.
 
Hatukuja na kitu duniani wala hatutoki na kitu ila roho iliyopondeka utakwenda nayo
Uje ndani ya Yesu.. Tua mizigo (ya dhambi)safari imekwisha wadia(kifo)

Ukitafakari sana, unaona tunafukuzana au kuhangaika na vitu ambavyo havina msingi kabisa maishani. Ubatili mtupu.

Mioyo iliyopondeka iliyojaa unyeyekevu na kuwathamini wengine imeadimika sana.
 
1 The 4:13-18

Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini. Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai, tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti.
Neno hili likawe manukato na kufanyika baraka kwa wale wote watakaolisoma
 
Ukitafakari sana, unaona tunafukuzana au kuhangaika na vitu ambavyo havina msingi kabisa maishani. Ubatili mtupu.

Mioyo iliyopondeka iliyojaa unyeyekevu na kuwathamini wengine imeadimika sana.
Hakika yote ni ubatili mtupu.. Yote yaliyo chini ya jua
 
Niaje kaka???
Natumaini u mzima wa afya njema,mkuu mimi huwa nasumbuliwa sana na ndoto moja hivi.Mara nyingi ninaota niko shule nasoma secondary wakati nimemaliza muda tu

Nyingine mara nyingi ninaota niko Marekani ila hiyo sehemu nilifikia ni watu weusi afu tunaishi kwa kujificha tunaogopa kukamatwa,nashindwa kuelewa maana ya ndoto hizi maana naziota mara kwa mara.
 
Ndoto ya kwanza kuna mambo yako pending..ukiyakamilisha hiyo ndoto itakata
Ndoto ya pili ina mahusiano na ya kwanza kuna vitu vikubwa unataka kufanya lakini kuna changamoto zinakutia ganzi na kujikuta una hofu
 
Yohana 14:6 SUV

Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
 
Relax.saa ya roho kutoka assume unalala utaamka baada ya muda ila hii kanuni Ni applicable kwa wale ambao Dua na Sala kwao Ni lazima na sio hiari..kwa wengine wasiomcha bwana kwao kitendo Cha moyo kushut down hawatakisahau..

Fajir for soldiers
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom