Mwisho wa JEURI a binaadamu ni Kifo

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,177
7,750
Hata uwe na jeuri kiasi gani, au dharau na uonevu lakini Mwisho wa siku Jeuri ya binaadamu inamalizwa na KIFO.

Kwa hakika mwisho wa Jeuri ya binaadamu ni KIFO.

ushauri wangu kwa binaadamu amabo bado tupo hai, tuache jeuri, kiburi na kuwanyanyasa binadaamu wenzako. tutendeane mema.

Kifo ndio mwisho wa Jeuri ya binaadamu.
 
Back
Top Bottom