Najaribu ku log in kwenye mfumo wa mikopo HESLB lakini inashindikana

GANG MO

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
2,116
Reaction score
2,248
Wadau habari ya jioni!
samahani kuna dogo aliomba, mkopo mwaka jana alikosa. Sasa anataka kuomba mkopo tena. Lakini ameshalipia elfu 30 lakini akijaribu kulog in mfumo haufunguki. Shida ni nini wadau?

Screenshot (56).png
 
30000 amelipia ya nini
kasema kabla hajaingia kwenye kuomba mkopo. mfumo unamtaka alipe elf 30,000 kupitia control number wanayoitoa. sasa baada ya kulipia anajaribu kulog in lakini mfumo hufunguki
 
Sio kweli labda kama wame update kwa 2025/2026
 
Wadau habari ya jioni!
samahani kuna dogo aliomba ,mkopo mwaka jana alikosa. sasa anataka kuomba mkopo tena. lakini ameshalipia elfu 30 lakini akijaribu kulog in mfumo haufunguki. shida ni nini wadau?
Sasa hapo adi password ameshatengeneza? Kama kila kitu tayr awe nasubira tu itakuwa mtandao unasumbua
 
Wadau habari ya jioni!
samahani kuna dogo aliomba ,mkopo mwaka jana alikosa. sasa anataka kuomba mkopo tena. lakini ameshalipia elfu 30 lakini akijaribu kulog in mfumo haufunguki. shida ni nini wadau?
Karibu kutumia kiungo kilichopo Kwa menu, hili jambo linanitokeaga pia, ila nilitumia icho kiungo nilichozungushia duara apo mambo ya kawaid swafiiiiiiii
1000045149.png
 
Back
Top Bottom