Background Check
JF-Expert Member
- Jun 28, 2019
- 378
- 578
Nani atupe taarifa ya CHATO BEACH RESORT?.
Isije kuwa imechoka na yenyewe.
Niliwahi lala hapo 3 or 4 years back mmiliki alikuwa ni Mayanga yule mkandarasi wa Chato Airport na mke wake ambaye ni manager wa tawi la AZANIA Bank jijini Mwanza.
In real sense wenyeji wanasema ilikuwa ya Hayatu JPM.