Ha ha ha ha
Lizzy bana, una mkwara wewe.
Itakuwa mtu aliiba password yangu bana
Siasa inaamsha maruhani kichwani kama Lawino.
Siku namba 4 ilishakuja, ikafika na ikapita.
Kwahiyo sasa unasherehekea au inakuwaje?
mkuu, usijekimbia hapa siku nikikumbuka tuuu... ntakutafuta
Mi nasubiria siku ya kongosho kuwa genderless! Ntafurahi manake nna langu la moyoni.
Taratibu, mie sio mgambo. Ni mwanamwali wa Gaddafi ujue! Sasa nasaka kazi, kama unahitaji watchwoman nistue. I don't steal husbands.
1. hukumuelewa kwa sababu ni sawa na mwalimu wa history kuamua kufundisha Physics A level
2. hivi alipost kuhusu nini?
3. Kongosho umewahi kutumia kitambulisho chako cha kura?
lol................umeongea huyu binty lizzy akipote longie ivyo jf italegalega hakika.hiyo nitahuzunika..... kwani anaweza ondoka na wengi!!
dah.... nshatabasamu tayari.....
siku Lizzy ukipigwa ban ya kufa mtu....! miezi 6
hiyo nitahuzunika..... kwani anaweza ondoka na wengi!!
Ngoja na mimi nijipige RPOMO mwenyewesiku lizzy atakapotetea cheating....lol
Mi nasubiria siku ya kongosho kuwa genderless! Ntafurahi manake nna langu la moyoni.