Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,067
- 43,498
Nokia Lumia ni wazuri but camera zao bado hazitii mguu kwa iphones & sumsung
camera?? unekosa excuse ukaja na hii?? hahaha
technology ya nokia ya 2012 nokia 808 ni standard hadi leo hamna ambaye atleast kajaribu.
simu za nokia lumia za 2013 kama 1520 na 1020 hadi leo zinazipita flagship za kisasa za 2015
mfano lumia 930 imeipita galaxy s6 kwenye optical image stabilization licha ya kwamba ni simu yenye sensor ya 2013
Nokia Lumia 930 bested the Galaxy S6 edge's optical stabilization at its own game