Naipenda simu yangu ya windows

Naipenda simu yangu ya windows

kuna tetesi za 940 ila sio zakuaminika

-iris scanner ya infrared inayofanya kazi hadi usiku
-itakuwa na dock hivyo kuitumia kama pc ukiwa nyumban
-kutakua na sensor za kumjua kama mtu ni left handed au right handed ili os iji adjust
-sd 805/810
-30mp camera

Yeah! We need a true flagship with outstanding specs.

Sio kuunga unga tu kama Samsung.
 
Yes but is to big for far too many people, and it is categorically a phablet not a phone. So sio kundi moja na 930. Ni sawa na kulinganisha iPhone 6 na 6 plus, 6 plus is a better phone ila huwezi kuzifananisha.

Yeah kaka, 1520 ni simu kubwa hata mimi siipendi kwasababu siwezi kuihandle kwa sababu ya ukubwa. Na mimi sio mtu wa simu kubwa.

Ninachoongelea hasa ni kwenye specs, mimi ni mpenzi mkubwa sana wa Nokia, napenda device yao.

Last time kumiliki Nokia ilikuwa 620, ofcourse ilinisumbua kiasi fulani. Nikahamia apple kwasababu ninapata kile nilichokuwa nakosa kwa lumia.

1. Storage kuwa limited sana, dunia ya leo simu ya gb 8 sio simu. Tunahitaji kuanzia gb 32 kwenda mbele.

2. Battery life ni disaster kwa simu nyingi sana zikiongozwa na androids the windows phone

Nokia waje na flagship sio simu ya kawaida. Waje na simu ya kushindana na kina apple
 
Mimi ninayo lumia 920 , inanikera sana ambapo ina heat wakat wa kuitumia hada hasa nikifungua instagram, sasa sijajua kuna tatizo au lah
 
Bulldog,

Mimi pia ninayo 620 ila ukizingatia kina around 1300mah muda kinaokaa na chaji sio mbaya. ndio wp yenye battery ndogo kushinda zote.

Windows phone inakaa na chaji sana kushinda ios na android thats why lumia 1520 na 3400mah ipo juu kwenye test za gsmarena japo kuna simu zina zaidi ya 4000mah. hasa standby wp zipo vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Mi pia ninayo 620 ila ukizingatia kina around 1300mah muda kinaokaa na chaji sio mbaya. ndio wp yenye battery ndogo kushinda zote. windows phone inakaa na chaji sana kushinda ios na android thats why lumia 1520 na 3400mah ipo juu kwenye test za gsmarena japo kuna simu zina zaidi ya 4000mah. hasa standby wp zipo vizuri

Kitu ambacho mpaka sasa niendelee kuifikiria lumia 1520 ni battery life, ni noma. 930 inaangushwa na hilo. Glance kwangu sio ishu coz ninayo na wala siitumii. Ila sio kwamba simu za windows zina battery life mbaya sana kama mdau juu pale alivyosema.

930, 925 na nyingine kadhaa zina battery life nzuri kama android au ios phones nzuri tu.
 
mi labda nipo tofauti...napenda Lumia kubwa kubwa tu...yaaani dahaa hata battery life inakaa sana mfano 1520 na 1320 dah..rahatupu
 
Wakuu vipi kuhusu Lumia 635 sijawahi tumia window phone,ndio nataka niingie huko
 
Yeah kaka, 1520 ni simu kubwa hata mimi siipendi kwasababu siwezi kuihandle kwa sababu ya ukubwa. Na mimi sio mtu wa simu kubwa.

Ninachoongelea hasa ni kwenye specs, mimi ni mpenzi mkubwa sana wa Nokia, napenda device yao.

Last time kumiliki Nokia ilikuwa 620, ofcourse ilinisumbua kiasi fulani. Nikahamia apple kwasababu ninapata kile nilichokuwa nakosa kwa lumia.

1. Storage kuwa limited sana, dunia ya leo simu ya gb 8 sio simu. Tunahitaji kuanzia gb 32 kwenda mbele.

2. Battery life ni disaster kwa simu nyingi sana zikiongozwa na androids the windows phone

Nokia waje na flagship sio simu ya kawaida. Waje na simu ya kushindana na kina apple

Kiongozi sidhani kama ni kweli kuwa battery life ni disaster kwenye windows phone, nakubali kwenye android kwa sababu system yenyewe haiko efficient sana. Naweza kukubali kuwa simu uliyonayo ilikuwa na battery ndogo na si kwamba ilikuwa haitunzi charge. I personally dont like the battery life kwenye 925 ambayo natumia na 930 ambayo naitamani, ila inakaa siku nzima. Pamoja na kuwa natamani battery life ya lumia 1520 au ya xperia z3 (ambayo sina mpango wa kuitamani), naelewa kuwa battery ya 920 na 930 ni standard kabisa kwa smartphone za siku hizi. Ni simu chache sana zinazidi battery life ya siku 1 (kwa heavy usage/matumizi makubwa). Hata Iphone 6 au galaxy s6 zitacheza humo humo pamoja na kuja na technology mpya ya chipsets.
 
mi labda nipo tofauti...napenda Lumia kubwa kubwa tu...yaaani dahaa hata battery life inakaa sana mfano 1520 na 1320 dah..rahatupu

kama unapenda simu kubwa, 1520 ndio chaguo lako lisilo na mpinzani
 
Acha undez jina la bland limebdrika siyo device ilikua n sony ericson now n Sony mobile cooperation
Then usikalili eti kinachofnya mob phn ku function kaz ya pc ni processor hv unajua kaz ya processor!? Pc ina mult fnctn nying ni kwasabu ya mambo meng amabyo simu haiwez

Intel siyo wazarshaji pekee wa processor hapa dunia kampuni zipo nying tu bob swala la Microsoft na kampun nyingne kutoa simu unazowaza wewe zifanye kazi ya pc ni ndoto pc inauwezo wa kufnya kaz nying kuliko unavyoichulia wewe poa poa kijana

Mbona kama unabwabwaja tu hapa mkuu!

kasema kwamba pc haifanyi mambo mengi?

Kasema kuwa processor manufucturer ni intel peke ake!

Unazijua au ushasikia kitu inaitwa surface phone usijekuwa unatumia nguvu nying kubisha usichojua!

Umeelewa aliposema sony corp kanunua hisa za erycsson? maana yake nn kwako ww !
 
imeshushwa bei sasa hivi hadi usd 349 ukibahatika kupata duka lenye stock mpya unaweza ipata around laki 7.

Lakini inakera kugundua kuwa chip yake haisupport maboresho ya camera yanayokuja na denim. Namaanisha lumia camera 5 ambayo pamoja na features nyingine kama rich capture, ya muhimu kabisa kwangu ni uwezo wa lumia camera kufunguka kwa speed na kuprocess picha kwa speed.
 
huenda kwenye wp10 ikapata baadhi ya feature maan kuna tetesi lumia camera ndio itakua default camera app.
 
Lumia yangu sasa haileti notification za tapatalk , sasa napata shida kujua notification za jamii forum . Na hii ni baada ya ku- update kwenda denim
 
Lumia yangu sasa haileti notification za tapatalk , sasa napata shida kujua notification za jamii forum . Na hii ni baada ya ku- update kwenda denim

fungua app ya battery server then angalia kama tapatalk imepewa ruhusa ya kurun background
 
Back
Top Bottom