mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
Acha undez jina la bland limebdrika siyo device ilikua n sony ericson now n Sony mobile cooperation
Then usikalili eti kinachofnya mob phn ku function kaz ya pc ni processor hv unajua kaz ya processor!? Pc ina mult fnctn nying ni kwasabu ya mambo meng amabyo simu haiwez
Intel siyo wazarshaji pekee wa processor hapa dunia kampuni zipo nying tu bob swala la Microsoft na kampun nyingne kutoa simu unazowaza wewe zifanye kazi ya pc ni ndoto pc inauwezo wa kufnya kaz nying kuliko unavyoichulia wewe poa poa kijana
Mkuu kwa uandishi huu,sidhani kama ni heri kuendelea kubishana na huyu jamaa.