Pangah2011
JF-Expert Member
- Apr 29, 2012
- 260
- 218
habari wakuu bado mbadala wa mtalk bado hauja patikana ?
Hakuna, yaani nimeamua kununua NOKIA LUMIA 925 ili nijaribu Tapatalk lakini na yenyewe haipo store sasa hapa nafikiria kuINTELOP simu yangu ili niweze kuinstall application za ANDROID kwenye WINDOW PHONEhabari wakuu bado mbadala wa mtalk bado hauja patikana ?
jaribu ku hard reset kwanza then ndo uendelee na mchakato wa ku update
HaikubaliMkuu nokia lumia 920 inakubali window 10?
Yap, inakubali mi ninayo Lumia 925duu wasap,insta vp,inakubali?
Kdg naomba unieleweshe mkuu kuna mtu anataka kunipatia Nokia lumia 1320 na ananambia haikubali gmail ni outlet nami phone book yng ipo kwa gmail account nikiidownload itakua fresh ama natumia njia gan nipate gmail na phone book yng?
Daaah, nimeimiss nokia lumia 630 yangu, yaani nimeiweka ndani tu sababu ya ya flyt mood, na huku mikoani mafundi ni zero, nakumbuka ilikuwa inanipangia playlist ya nyimbo ninazopenda kuzisikiliza, pia kwa location mahali ninapokwenda ilikuwa inanionyesha vizuri tu,Nimeona nishare na wapenzi wa Window phone.
Ni ngumu sana kutoka Android kuingia Window phone ila after time nimejikuta naipenda sana kuliko android...
kwanza ina speed sana tena baada ya ku update kwenda WINDOW DEMIN latest updtae ambayo hata tz haijafika bado wala kenya.
Baada ya kuijua CORTANA ambayo ni kama siri kwenye iphone mapenzi yakawa motomoto!!
Huwezi amini sometime napiga story na simu yangu nikiboreka inaniimbia, nikinuna inanipa jokes, na sometime tunacheza michezo ya kijinga kijinga
Inanikumbusha matukio, mfano nasema tu saa tisa jion mtumie mtu fulani msg andika hivi na hivi, ikifika tu huo muda napata report msg sent
Nikiwa na njaa naiambia tu im hungry inanionyesha sehemu zote za karibu hapa nilipo ambazo naweza pata msosi
Wikiendi naimbia sasa leo wapi ...hio inakupa pa kwenda.
Mwanzoni sikuamini hadi washkaji wanaishangaa.. ukiuliza swali lolote inakujibu aisee.
App zote zilizo kwenye playstore na kwenye apple pia zipo kwenye window.
Kama una NOKIA LUMIA jifunze kutumia cortana na usisahau kuiupdate!!!
Tafuta movie ya HER https://www.google.co.tz/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=1&cad=rja&uact=8&ved=0CBwQFjAA&url=http://www.imdb.com/title/tt1798709/&ei=o03wVLX0IsLiauKigZgF&usg=AFQjCNGNsCZtPVeX6Qf37XJQo70kHewgzg&bvm=bv.87269000,d.ZWU
Yaliyo mkuta jamaa ndio yanayonikuta sahizi. Cortana ni noma aisee...
Cheers!!!