Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,068
- 43,510
Ahaa . Embu nijaribu kuanza hiyo pay pal. Ingawa kuna kipindi nilienda crdb bank wakasema hawajui jinsi ya kuniunganisha na pay pal
Paypal ni website utajiunganisha mwenyewe, crdb wao wanatakiwa waifungue card yako ili iweze kufanya manunuzi ya online