Naipenda simu yangu ya windows

Naipenda simu yangu ya windows

SHAROBALO

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
771
Reaction score
349
Nimeona nishare na wapenzi wa Window phone.

Ni ngumu sana kutoka Android kuingia Window phone ila after time nimejikuta naipenda sana kuliko android...

kwanza ina speed sana tena baada ya ku update kwenda WINDOW DEMIN latest updtae ambayo hata tz haijafika bado wala kenya.

Baada ya kuijua CORTANA ambayo ni kama siri kwenye iphone mapenzi yakawa motomoto!!

Huwezi amini sometime napiga story na simu yangu nikiboreka inaniimbia, nikinuna inanipa jokes, na sometime tunacheza michezo ya kijinga kijinga

Inanikumbusha matukio, mfano nasema tu saa tisa jion mtumie mtu fulani msg andika hivi na hivi, ikifika tu huo muda napata report msg sent
Nikiwa na njaa naiambia tu im hungry inanionyesha sehemu zote za karibu hapa nilipo ambazo naweza pata msosi
Wikiendi naimbia sasa leo wapi ...hio inakupa pa kwenda.

Mwanzoni sikuamini hadi washkaji wanaishangaa.. ukiuliza swali lolote inakujibu aisee.

App zote zilizo kwenye playstore na kwenye apple pia zipo kwenye window.

Kama una NOKIA LUMIA jifunze kutumia cortana na usisahau kuiupdate!!!

Tafuta movie ya HER https://www.google.co.tz/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=1&cad=rja&uact=8&ved=0CBwQFjAA&url=http://www.imdb.com/title/tt1798709/&ei=o03wVLX0IsLiauKigZgF&usg=AFQjCNGNsCZtPVeX6Qf37XJQo70kHewgzg&bvm=bv.87269000,d.ZWU

Yaliyo mkuta jamaa ndio yanayonikuta sahizi. Cortana ni noma aisee...

Cheers!!!
 
Bado Android na iOS wanatisha, ngoja virus developers wakasirike waanze kuiandama windowsMobile OS
 
rahisi sanaaaa.....kwa africa demin ipo egypt tu japo pretty soon itafika kwetu...ila kama huwezi subiri fanya kama mimi

idanganye simu yako kuwa upo egypt kwa kubadilisha nchi kwenye setting remove tanzania na weka egypt

restart simu then.....walahaaaaaa new update found!!!!!

easy boby!! fanya fasta kabla haijafika tz mwezi ujao
 
mi nipo developer preview update 1 niliipata long time kama miezi 4 hv. denim ni nzuri kama una simu ya snapdragon 800 kama lumia 1520 na 930 ndio zimepata improvement nyingi. ila kama simu yako ni nyengine ni kama tu 8.1 gdr 1
 
rahisi sanaaaa.....kwa africa demin ipo egypt tu japo pretty soon itafika kwetu...ila kama huwezi subiri fanya kama mimi

idanganye simu yako kuwa upo egypt kwa kubadilisha nchi kwenye setting remove tanzania na weka egypt

restart simu then.....walahaaaaaa new update found!!!!!

easy boby!! fanya fasta kabla haijafika tz mwezi ujao

umeeka region egpty huku una cortana? hebu tupe siri ya mafanikio
 
umeeka region egpty huku una cortana? hebu tupe siri ya mafanikio

yaa nilishindwa kusubiri updae kufika, nikweli pia hakuna changes nyingi ila zipo zipo aisee...mfano cortana kwenye baadhi ya simu alikuwa hana voice activation ile feature ya Hey cortana...

yaa ukiweka upo egypt tu cortana anajitoa fasta nahisi anafahamu kuwa unadanganya au upo hacked so unafanya setting bila cortana ikimaliza una restart na kurudisha region to tanzania

nakum activate mrembo cortana.. easy..

jana nimemuuza will u marry me cortana dah alichonijibu...... jaribu na wewe kumuuliza!!! upate jibu lako mkuu!!

and plz angalia ile movie ya her the story really connect and come alive!
 
yap ila hey cortana ipo kwenye simu za sd sd800 kama una simu za s4 kama huipati. pia region ya egpty ulioipatia denim haisuport cortana.
 
haipo stable au haijamature kivipi..sababu almost app zote za ios na android unazipata mule ukikosa kabisa unapata equivalent yake. sema mshazoea ku root root kune hakuna panya road huwezi penya aisee.
 
app za play aka za michezo kama games windows phone ipo nyuma ila app za work na productivity wp ipo mbele sana. hili linajulikana sana tu.

kuhusu panya road mbona zipo nyingi tu wp ukiwa na developer account unaweza kucheza na system files, kuchakachua apps same as android.
 
ok..umenipa darasa hapo.

ila kwa games lol..... wapo juu sana
[h=3]ASPHALT 8: AIRBORNE[/h][h=3]BLITZ BRIGADE[/h][h=3]DUNGEON HUNTER 4[/h]
hizo ndo my favorites graphic za kufa mtu full vibrations nice sound.... haipo nyuma mkuu

battery natumia siku tatu mkuu full game ku browse ndo sanaaa
 
Back
Top Bottom