hao hao uliowataja ndio waje wakomment sijigusi kusema lolote
hao hao uliowataja ndio waje wakomment sijigusi kusema lolote
Ntakupa analysis ya kwangu fupi hapa kwanini inawezekana wengi wa wanao rock (kama ulivyotumia wewe) ni wa jinsia ya ke;aaah, hataaa sikubali: yaani hivi hivi na wala mimi simo kwenye list, I can't believe my eyez! Hapa lazima nimpige mtu kipapai
wivu sina lakini roho inauma eeeh!
Big up sana waliotajwa, kwa kweli they rock jukwaa hili. Pamoja na kwamba nimejoin late but 4 sure nilipokuwa nachungulia ki-ugeni ugeni whenever u read post na comments zao unabaki kushangaa kuhusu fikra zao
anyway kwa namna ya pekee naomba nimtaje Kongosho na King'asti, duh comments zao me huwa hoi.....
Of note wengi wao wanashabihiana au wamebainisha wao ni jinsia ya ke, je kuna somo lolote tunaweza kupata kwamba kwanini wengi wanaonekana ku-rock jukwaa ni jinsia ya ke? Me I dunna
Always my sister, i never miss whatever you post here.........pamojaJamani nivea sio vizuri hivo... Lol. Hebu comment tu naamini kabisa M'Jr hakuwa na maana mbaya na wala hakumaanisha kuwa huna mchango hapa Jf.
M'Jr what can I say my brother.... Naomba tu niseme I am humbled kwani kwa kweli ni faraja saana inapotokea mtu kukukubali; in a way ni kama twapeana faraja na nguvu fulani kuwa you have people you can rely on in any reliable way. Nashukuru... Pamoja saana!
Umemsahau anaejiita sijui Mtambuzi au Mtaa wa Mbuzi kama hivo...
Kwahiyo hapa mnadiskashen mapwenti gani nyie magrit sinkaz?
Kwa kuwa yeye hanipendi, na mimi simpendi. Bye byeMkuu nivea hao ni anaowapenda yeye na natumai hata wewe kuna unaowapenda pia hivyo unaweza kuwaweka hadharani kama alivyofanya yeye.
Ungeuliza ni aina gani za feeling. Mwenzako nafeel kwamba Mtambuzi ametoka sayari nyingine kwa makala na mabandiko yake yaliyosheheni hekima na busara.hivi mwaka huu sijajua umeanzaje,
unamfeel je mbaba kama wewe.
Si unaona hata siku hizi umeacha kuvaa vile vimini vyako na skin tight na tshirt kama zamani. Usimuache huyo babu uliyenaye sasa hivi asee ametusaidia sana kuku "shape"
Kwahiyo hapa mnadiskashen mapwenti gani nyie magrit sinkaz?
Mambo buji mtumishi wa MunguMtambuzi, huyu jamaa namfeel kinoma