kumweka Bishanga kwenye kundi la akina mama ndo nini.
@Nyakwec's kimya kimya mzee mzima Bishanga yuko mikoponi.
Kwahiyo hapa mnadiskashen mapwenti gani nyie magrit sinkaz?
Namshangaa mtoa mada
Zombie limestuka linachunwa tu, likaingia mitini
Afu ngoja nilipigie simu
Umeanza vizuri ukamalizia vibaya. Mie huwa sigawani maujiko na mtu. Nitake razi nakwambia....:majani7:Shkamoo Babu. Utakunywa uji ama chai?
Kwa maandazi au vitumbua? he he he he
M Jr, mi nipo, naingia kila siku ila zaidi PM
Na bado sijamaliza kitabu.....:mwaaah::mwaaah::mwaaah:Eti wewe babu umenishape, umenifanya niwe na kalio kama la mchina