Naipenda JF na hawa......

Naipenda JF na hawa......

Kwahiyo hapa mnadiskashen mapwenti gani nyie magrit sinkaz?
Shkamoo Babu. Utakunywa uji ama chai?
Kwa maandazi au vitumbua? he he he he
M Jr, mi nipo, naingia kila siku ila zaidi PM
 
Shkamoo Babu. Utakunywa uji ama chai?
Kwa maandazi au vitumbua? he he he he
M Jr, mi nipo, naingia kila siku ila zaidi PM
Yesu na Mariah! Ndio wamekubeba mzima mzima wakakupeleka PM!? Basi tena sina changu mie
 
0003.gif

0030.gif



Haaaa this is what i missed the most jamani! Utanifanya na mie nihamie mjini sasa nitoke huku shamba.......
 
M'Jr naomba nikusahihishe kidogo huku nikikupa assignment.
Akili yangu inaendeshwa kwa nguvu ya kanguvuke, sio sola wala sio tanesco.
Nikiwa na mafuta masafi full tank, nakuwa safi kama theluji, mafuta yakiwa yamechakachuliwa nakuwa kama M'kwere, napotoshwa na wasaidizi wangu.
Mafuta yakiwa yanakaribia kwisha ndio hapo moto unapowaka

hahahaaa! nakikubali kichwa hiki Bujibuji pamoja sana
Kila comment ya The Boss lazima niisome popote nikiiona
 
Last edited by a moderator:
Zion Daughter ukumbuke neno la Mungu linasema "Watawatambua kwa matendo yenu"
Haya tuambie matendo ya Bujibuji yakoje?Kumbuka Daudi alikuwa mzinzi lakn alikuwa kipenzi cha Mungu.Petro alikuwa mnafiki/alimkana Yesu mara tatu lakn aliachiwa kanisa.Kabla hujahukumu chukua nafasi ya kumuombea mtu na sio kumnenea mabaya..Mungu hapendi.
 
Aisee, MziziMkavu na Mzee Mwanakijiji hawamo, mh haya bwana!
 
Asprin umesahaulika bwana, mko busy na The Boss, ninyi ni watu muhimu sana, msiwe mnapote namna hiyo hadi members wanawasahau! oproto upo kweli, wamekusahau na mashairi yako
 
Mkuu mtaje basi na nivea hata kwa sifa za mgongo wa chupa!..

Dah nilikuwa nimemsahau Bujibuji; Ana akili inayoendeshwa na nusu umeme wa Tanesco na nusu wa solar kwahiyo kuna wakati inazidi, wakati mwingine inakuwa sawa na wakati mwingine inashuka saaaana mpaka inabaki ya kufumbua macho tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom