Chalinze: Mahakama ya Lugoba yateketea kwa moto

Informer

Platinum Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,628
Reaction score
6,816
Wakuu,

Jengo la Mahakama ya Mwanzo ya Lugoba, iliyopo Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani, limeteketea kwa moto usiku wa Aprili 6, 2026 (mida ya saa 5 za usiku) huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijafahamika.

Kabla ya tukio hili, mahakama ya Lugoba ilikuwa ikishughulikia kesi za jinai kama wizi wa nyaya za umeme (ACSR).
 
As long as chama cha majambazi kitaendelea kubaki madarakani hii myoto haitakaa iishe
 
Back
Top Bottom