Naipenda DAR,my City

Naipenda DAR,my City

dar ntakuja kupata mahitaji kama ambavyo naweza kwenda moshi, arusha, na hata kagera lakn yawezekana ni sababu ya kutotembea miji mbalimbali ukauona utofauti ndio maana unaiyona dar ni mbingu ndogo

nani kakwambia DAR ni mbingu? kuipenda dar haina maana mtu hajafika miji mingine ni mapenzi ns mji wangu ndio maana nasema hata nikiambiwa nichague miji mitatu duniani DAR lazima iwepo
 
Dar es salaam raha..papuchi unapata kwa buku mbili tu....
Ukiwa na buku unaweza kula milo mitatu...
 
nani kakwambia DAR ni mbingu? kuipenda dar haina maana mtu hajafika miji mingine ni mapenzi ns mji wangu ndio maana nasema hata nikiambiwa nichague miji mitatu duniani DAR lazima iwepo

ENDELEA KUJIFARIJI i
 
nani kakwambia DAR ni mbingu? kuipenda dar haina maana mtu hajafika miji mingine ni mapenzi ns mji wangu ndio maana nasema hata nikiambiwa nichague miji mitatu duniani DAR lazima iwepo

hivi unakaa dar sehem gani vile?
 
Naskia dar kuna vibanda vya wahaya. Hivi vina kazi gani?
 
Dar nzuri tatizo joto sana utadhani tuko kwenye oven??? Japo bahari inaniburudishaga sometimes,,, nimezaliwa ocean road!

Niko Dar sijui Joto likoje huu mwaka wa 46 nathani tatizo harufu mbaya
 
nani kakwambia DAR ni mbingu? kuipenda dar haina maana mtu hajafika miji mingine ni mapenzi ns mji wangu ndio maana nasema hata nikiambiwa nichague miji mitatu duniani DAR lazima iwepo

mkuu RRONDO ingekuwa vizr sana ungeweka picha za jiji zima ili tuone dar labda tuvutwe nasie...

Huwez ukawa unamsifia mkeo kwasis tusiomjua halafu ukatuwekea picha ya miguu tu. Weka picha nziama tumwone kuanzia unywere hadi ukucha mguu
 
Last edited by a moderator:
hivi unakaa dar sehem gani vile?

mkuu thats my private life....however kama hujui ninapoishi hustahili kujua. wapo wanaojua nakaa wapi humu jf ila sio wewe na sitakwambia.
 
mkuu RRONDO ingekuwa vizr sana ungeweka picha za jiji zima ili tuone dar labda tuvutwe nasie...

Huwez ukawa unamsifia mkeo kwasis tusiomjua halafu ukatuwekea picha ya miguu tu. Weka picha nziama tumwone kuanzia unywere hadi ukucha mguu

thread hii ni juu ya sehemu zinazonifanya niipende dar.....hizo nyingine unaweza kufungua thread yake tuchangie
 
Last edited by a moderator:
Niko Dar sijui Joto likoje huu mwaka wa 46 nathani tatizo harufu mbaya

kwahio wewe ni wale wa AC kwenye gari.ofisini hadi home. sasa hizi harufu mbaya unazisikia wapi?
 
Back
Top Bottom