Naipenda DAR,my City

Naipenda DAR,my City

Kwa Tanzania ndio mji pakee wa kuishi, kuna watu watakuja kubisha watasema eti Chunya maisha bei rahisi, nani akaishi uswekeni huko?
 
unapopenda boga penda na ua lake, picha zako ni za kuchagua mno, sioni kwetu tandale, mbagala, vingunguti, tufanyie haki...
 
unapopenda boga penda na ua lake, picha zako ni za kuchagua mno, sioni kwetu tandale, mbagala, vingunguti, tufanyie haki...

tandale sio dar es salaam...tunapozungumzia dar es salaam hapa tunazungumzia posta,upanga osterbay masaki mbezi beach na bahari beach....uko tandale mbagala etc ni maeneo tu karibu na mji wa dar es salaam
 
unapopenda boga penda na ua lake, picha zako ni za kuchagua mno, sioni kwetu tandale, mbagala, vingunguti, tufanyie haki...

huko sina picha zake.....nimeweka picha zinazonifanya niipende dar....
 
Unaweza ukaipenda kwa kuangalia hayo majengo tu lakn ukawa buguruni malapa au tandale........
Swali ni je unanufaika vip na hayo maeneo mazuri uliyoyaweka kwenye picha?
Kwasababu kuna wengne wapo dar lakn maeneo kama hayo wanayaona kama tuonavyo miji kama miami kwenye filamu

siipendi kwa kuangalia tu....nafaidi hizo sehemu nzuri za mji huu u dont have to break the bank...
 
Unaweza ukaipenda kwa kuangalia hayo majengo tu lakn ukawa buguruni malapa au tandale........
Swali ni je unanufaika vip na hayo maeneo mazuri uliyoyaweka kwenye picha?
Kwasababu kuna wengne wapo dar lakn maeneo kama hayo wanayaona kama tuonavyo miji kama miami kwenye filamu

Nashukuru umeweza kumjibu kama inavyotakiwa.

kwa upande wangu sikaa dar wala sitanunua kiwanja sehemu yoyote dar.

kama kujenga gorofa nitajenga huku huku kijijini kwetu.
 
Kila mtu mzima anaejimudu anapapenda alipo ndio maana yupo hapo.
Wa Mwanza ndipo alipopapenda, wa Dom anapapenda Dom, wa Tandahimba nae halikadhalika.
Kila mji una wahamaji na wahamiaji.

Kwa Tz hii aisee napapenda Dar na joto lake, vurugu, foleni, biashara, starehe, kazi, kusoma, matibabu... n.k,
 
napenda foleni.za dar,magari ni mengi hadi raha kila aina utayaona huko!
_kama pale salender yanapita mavx v8 full tinted sijui huwa yanaenda wapi


Hahahaaa
Umenifurahisha kuangalia aina za magari.
kwa kweli salenda hadi Morocco ni magari mazuriiii
 

Dar_flip-620x264.jpg
 
Nashukuru umeweza kumjibu kama inavyotakiwa.

kwa upande wangu sikaa dar wala sitanunua kiwanja sehemu yoyote dar.

kama kujenga gorofa nitajenga huku huku kijijini kwetu.

kuna aliekulazimisha uje DAR? baki huko huko hatuwezi kuishia DAR wote..naipenda DAR. my city
 
Halafu kuna mijitu ya ajaabu huko toka bara wanataka kufananisha MZIZIMA na mwanza.... labda kwa idadi ya ngo'mbe basi bwanza wanaongoza

Eiyer

Na mimi huwa nashangaa hawa waota ndoto!! Unakuta pia wanakuja kununua bidhaa Dar kwa ajili ya kwenda kuuza na ku-survive huko kwao hasa hasa kwenye mawe, ila wanathubutu kuilinganisha Bongo na kwao!! Ndani ya miaka 20, Dar itakuwa bab kubwa zaidi, kuna projects za hatari, zitakapotimia, ni shigdaaah!
MwanaDsm mie, najivunia!
Pia UTANZANIA 'haukamiliki' kama haujatia mguu Dar, hii iko very obvious na wana bara hasa kanda ya ziwa wanalijua hili.
 
Last edited by a moderator:
tandale sio dar es salaam...tunapozungumzia dar es salaam hapa tunazungumzia posta,upanga osterbay masaki mbezi beach na bahari beach....uko tandale mbagala etc ni maeneo tu karibu na mji wa dar es salaam

Hata New York na London kuna ghettos na hoods, sasa jaribu waambia hao watu wa Tandale, Mbagala wahame Dar uone kama watakubali. Uzuri wa Dar, pamoja na ugumu wa maisha unaotufanya bongo zetu ziwe sharper, upatikanaji wa mahitaji ya kibinadamu ni mkubwa!
 
Back
Top Bottom