Naipenda DAR,my City

Naipenda DAR,my City

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
60,492
Reaction score
139,523
Wale wanaosema Dar es salaam ni mbaya mara chafu ni dhahiri hawaujui mji na wameishia sehemu chafu walipoingia mjini naipenda Dar es salaam hata nikiambiwa nichague sehemu tano za kuishi Duniani Dar es salaam itakuwepo.

1016467_781366038587071_3505834699636696928_n.jpg

10013884_1579776368908345_5345796373430022138_n.jpg


PICHA KWA HISANI YA NDINDA
10801611_1579776362241679_7168811611310540528_n.jpg

1375933_1579776542241661_1792951535635342143_n.jpg

10653464_1579776808908301_2972414004856480772_n.jpg

mw7f5z.jpg



 
Dar nzuri tatizo joto sana utadhani tuko kwenye oven??? Japo bahari inaniburudishaga sometimes,,, nimezaliwa ocean road!
 
Dar nzuri tatizo joto sana utadhani tuko kwenye oven??? Japo bahari inaniburudishaga sometimes,,, nimezaliwa ocean road!
Joto si kwa wote.....!!wengine wanajifunika hadi blanket usiku na mchana anatokwa na vipele vya baridi!!Tatizo foleni.
 
Joto si kwa wote.....!!wengine wanajifuka hadi blanket usiku na mchana anatokwa na vipele vya baridi!!Tatizo foleni.

wengine AC kwenye gari,nyumbani hadi ofisini.
 
Unaweza ukaipenda kwa kuangalia hayo majengo tu lakn ukawa buguruni malapa au tandale........
Swali ni je unanufaika vip na hayo maeneo mazuri uliyoyaweka kwenye picha?
Kwasababu kuna wengne wapo dar lakn maeneo kama hayo wanayaona kama tuonavyo miji kama miami kwenye filamu
 
wengine AC kwenye gari,nyumbani hadi ofisini.

umeona eeeh!!kuna watu suti haziwakauki.......sasa kungekuwa na joto wangevaa kweli?joto ni kwa pangu pakavu......!
 
napenda foleni.za dar,magari ni mengi hadi raha kila aina utayaona huko!
_kama pale salender yanapita mavx v8 full tinted sijui huwa yanaenda wapi
 
Halafu kuna mijitu ya ajaabu huko toka bara wanataka kufananisha MZIZIMA na mwanza.... labda kwa idadi ya ngo'mbe basi bwanza wanaongoza

Eiyer
 
Last edited by a moderator:
Kikwete katuboreshea maisha wadanganyika- FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Mbona hapo wabongo wanaoingia ni wachache?
cc Panya road
 
Back
Top Bottom